Rewrite The Stars; Version ipi kali zaidi?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,148
27,135
Original version ilifanywa na Zac Efron na Zendaya mwaka 2017 kwa ajiri ya movies ikienda kwa jina la The Greatest Showman.

Baadaye James Arthur na Anne-Marie walifanya cover yake.Mimi kila nikizisikiliza nashindwa kuelewa ipi kali zaidi,Je wewe una maoni gani?

NB: Hawa wenzetu kwenye hizi sound track huwa wanatisha sana, sijui ndo huwa wanapania sana.

Zac Efron X Zendaya (Og Version)

View: https://youtu.be/yO28Z5_Eyls?feature=shared

James Arthur X Anne-Marie (Cover)

View: https://youtu.be/pRfmrE0ToTo?si=SdRp86kd1rVVOxc0
 
Back
Top Bottom