Kim Kardashian Apinga Tetesi Kuwa Anampaka Vipodozi Nori West

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
387
195
Hii wiki Kim Kardashian aliweka picha mpya za mtoto wake Nori West kwa mtandao wake wa Instagram. Picha hio ilikuwa tofauti na zile nyingine huku ikikisiwa kuwa Kim Kardashian amemfanya waxing mtoto wake.

Picha aliyoiweka Kim ilimuonyesha mtoto Nori akiwa na Kope nyeusi zaidi ukilinganisha na zile picha zake za awali alizokuwa akiweka kwa mtandao.

Kujibu tetesi hizo,, Kim alikuwa mkali huku akimsifu mtoto wake kuwa yeye ni Natural Beauty na kope zake nyeupe kwa mtandao wake wa Twitter.

Full Story hapa>> Kim Kardashian Apinga Tetesi Kuwa Anampaka Vipodozi Nori West - bkuHABARI
 

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
387
195
Hahahah Kim anajishuku,,,wajua wengi wanamponda kuwa mtoto wake ana sura mbaya....mtoto ni wake lakini
 

Ibrahim300

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
387
195
Hana shida...Kim analipwa kwa kuleta tetesi kwa mitandao...so kumpaka mtoto wake vipodozi alijua ataweka hisia flani kwa mafans wake...c waelewa tena mambo na design ya Wema Sepetu hiv
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom