Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi karibuni, mmoja wa waasisi wa hip hop nchini Kenya, Nazizi, alithibitisha kuwa ameachana ma mume wake kutoka Tanzania, Vinny, na wapo katika harakati za kupeana talaka Naziz na Vinny wana...
0 Reactions
12 Replies
50K Views
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Baada ya kuwepo tetesi nyingi kuwahusu, sasa imethibitishwa kuwa Drake na Rihanna ni wapenzi. Vyanzo mbalimbali vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Rihanna na Drake wametoka kwenye ukaribu wa kawaida...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
msanii wa tanzania Hemedi PHD amejivunia mafanikio ya kulala na mastaa wa tanzania 32 tena bila kinga,ayo maneno ameyasema mwenyewe hemedi kwenye maojiano na mwandishi wa blog moja maarufu apa tz...
3 Reactions
70 Replies
28K Views
Diamond Platnumz bana eti ‪#‎mahaba_niue‬ ‪#‎kipara_ninyonge‬!!! Kapendeza ama?
0 Reactions
20 Replies
16K Views
Hebu mwanzo tuweke wazi hapa kabla hatuja dondosha list nzima ya wanaume aliokuwa nao Kim Kardashian, hatuwezi kusema Kim ni [ingiza neno lako hapa] kwa kuwa na mahusiano na wanaume 9 kwa muda wa...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Lady Gaga shared a photo of herself having a wash in green water a day after a weird performance in Austin Texas where she asked a friend to vomit a greenish substance all over her during...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni msaani wa Bongo Flava anayefahamika kwa jina kama Shilole anatalajia kufungua cafe ya chakula hapa jijini Dar es salaam katika maeneo ya Mwananyamala. Shilole ambaye kwa sasa anayetamba na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Stori: Gladness mallya MWANA DADA kutoka kiwanda cha muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ameonekana kukomalia kuolewa na meneja wake, Joe Kairuki huku akidai kuwa, mwanume huyo ni mume sahihi...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Paul of Psquare & Anita have been together for over 10 years now .The beautiful couple who have a son will be holding their Traditional wedding on Saturday 22nd March 2014 in Port Harcourt.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani huwa namuona Bball kitaa and he is good being a presenter. Naomba historia ya huyu jamaa (alipozaliwa, kukulia, elimu, kazi, mahusianona nk)
0 Reactions
20 Replies
5K Views
. Wema sepetu anapendeza sana bila kufanya make up na kuvaa mawigi!
0 Reactions
65 Replies
14K Views
nimesikia ktk Afrika mashaki wasanii wenye pesa wanapatikana uganda ! Tz ni mke wa mtunza bustani 2 ! ajuae anijuze
0 Reactions
13 Replies
20K Views
MWIGIZAJI wa kike wa filamu Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefunguka kwa kuongelea ugomvi na chuki ambazo zimekuwa zikiripoti kwa akina dada kutoka Bongo movie sababu kubwa ni ugomvi wa kuibiana wanaume...
1 Reactions
27 Replies
13K Views
Huu muda wote mpaka Miley Cyrus amalize concerts zake za Bangers tour, tutajitayarisha kuona mengi. Hivi mwezi jana staa huyu aliweza kuilamba chupi ya fan wake mmoja na haingekuwa maajabu kuona...
0 Reactions
2 Replies
46K Views
Stori: Shakoor Jongo STAA wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' amefunguka kuwa kama siku yoyote atapata ujauzito kwa bahati mbaya, hatafanya kosa tena, atazaa tu. Katika mahojiano...
0 Reactions
40 Replies
21K Views
Kutoka kwa shuhuda wetu, jana March 13 2014 kulitokea ugomvi studio baada ya Ommy Dimpoz kupost picha akiwa studio na Diamond na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae amewahi kuingia kwenye...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
Movie inaendelea.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani, poleni na shughuli za hapa na pale Me naomba kuuliza, hivi huyu mustafa Hassan ally mwanamitindo, huu wembamba alionao ni diet au kuna kitu kingine kimefanyika? Maana miaka ya nyuma kidogo...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Msanii wa hiphop Ibra Da Hustler amepelekwa rehab ndani ya Kigamboni Sober House! Akiongea kwa simu kupitia kipindi cha XXL cha clouds fm mama mzazi wa msanii huyo amesema amelazimika kumpeleka...
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Back
Top Bottom