Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Vyombo vyake vya habari kwa miaka 20 vimetoa wana habaro ambao karibia wote leo ni watu wenye hali nzuri kimaisha Kuna wengine wameshatangulia mbele za haki RIP lakini wameondoka kwa heshima...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Inasemekana ule mjengo wa kijitonyama aliokuwa akiishi super star wema sepetu ilikuwa siyo ya kupangisha kama inavyojulikana, Bali mjengo ule ni mali halali ya bwana clement , ambayo alinunua kwa...
1 Reactions
31 Replies
11K Views
Nimevutiwa sana na uvaaji wa msanii huyu Pharrell sio mbaya wanaJF tukatoka mara moja moja kwa stail hii!!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Duh wewe jux sio mtu mzuri, ndio nini kutupa presha kipindi kile?, ukajifanya wewe ndo Jackie ukaingia kwenye account ya instagram ya jack na kujifanya jack ukapost utumbo unaoujua wewe, au ndo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naye mrembo na videoqueen mashuhuri tanzania AGNESS GERALD “masogange” naye hivi majuzi ameonesha picha za tattoo alizojichora na picha nyingine akichorwa kupitia mtandao huohuo wa instagram...
0 Reactions
61 Replies
38K Views
Haya ndio aliyoshushiwa na team husika. Mie sikujua kama na kipozeo cha mheshimiwa ni mtoto wa mjini...! mengine tumuachie mheshimiwa mwenyewe.
0 Reactions
102 Replies
15K Views
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Hakika Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni zaid ya boss,siyo mtemi..ni rafik,ni kaka yetu, ni mshauri wetu, na siku zote anapenda aone tunafanikiwa,anatufanya tujione tunaweza kufanya hat yale tuliyojiona hatuwezi fanya. Siyo mkosoaji...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama mnavyoona kwa picha,maisha ya baba yake ni duni wakati wasanii mjini wanamsujudu,wadogo zake wamefukuzwa shule kwa kukosa ada. BABA YAKE AMLAANI YEYE NA WANAOMUIMBA KWENYE MUZIKI.
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Akiwa katika mahojiano na na mwandishi wa swahilitz msanii mwenye heshima kubwa katika kiwanda cha bongo movies Yobnesh Yusuph "Batuli" aliweja wazi kuwa wasanii wengi wakike ndiyo watumiaju...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Kuna rumours nyingi hapa kitaa kua jide anahusika katika hii redio mpya inayokaribia kuzinduliwa hapa bongo! It might be the way to fighting the monopolistic radio(the big one) in bongo music...
0 Reactions
35 Replies
13K Views
It feels good, congratulation heaven on desert
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Stori: Paparazi Wetu BAADA ya minong'ono ya muda mrefu, hatimaye staa wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah' ameweka wazi kuwa anatoka kimapenzi na Nagari Kombo. Akiteta na kona hii...
1 Reactions
62 Replies
15K Views
Shule ni tatizo kubwa sana kwa wasanii wetu jamani. Kwakweli linapokuja swala la kutumia lugha ya malkia hapo utacheka mpaka ulie. Angalia kijana wetu anavyoshuka "ung'eng'e" kama nyani ngabu...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Radio legend and culture critic Troi Torain popularly known as Star who became famous for being outrageous on NYC radio, has revealed Jay Z's real age. According to him, Jay Z is his age mate...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii ni Nouma, sijui ni Bhang au ndo kulewa usupa staa..
0 Reactions
25 Replies
5K Views
It's just dinner! Rihanna goes for the shock factor as she wears a COMPLETELY sheer skirt over bright pink underwear for a quiet evening outBy SARAH BULL PUBLISHED: 09:57 GMT, 21 March 2014 |...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
The Tanzanian Singer introduced his baby mama in this awww-inspiring message " Happy birthday to this beautiful girl of mine aka mama lolo, mama yake mtoto wangu ,mother house, mother kitambi...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Back
Top Bottom