Diamond: Mahaba niue..kipara ninyonge

Diamond: Mahaba niue..kipara ninyonge

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,333

Diamond Platnumz bana eti ‪#‎mahaba_niue‬ ‪#‎kipara_ninyonge‬!!!
Kapendeza ama?
 
ila huyu dogo kwa upande wa kazi anajitahidi
 
Ili mradi tu Diamond asije kulia lia tena hapo baadae.
 
kipara kitu gani watu wananyonya hadi miguu
 

Attachments

  • 1395232114373.jpg
    1395232114373.jpg
    24.2 KB · Views: 377
Hivi muda wote wanavaa hayo ma-minyororo shingoni na mikononi.
 
Back
Top Bottom