Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond juzi asubuh Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na...
Hii ni Fundisho kwa Wanaume woote mliopo JFwanaopenda kuwasumbua wanawake walio na mvuto na Maumbile ya kuvutia, Mrembo Rihana ameweza kuwawakilisha wanawake wasiopenda udhalilishaji wa namna...
Jamani wambea wenzangu wa humu jamii forum na bloggers, hii tabia nimeona inakua sana siku hizi , unakuta msanii au mtu yeyote maarufu kapiga picha na gari Kali na kutundika mitandaoni, unakuta...
Ooh! Noo! Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda Mr Nice amebondwa kwa mara nyingine na kusababishiwa majeraha makubwa mwilini, Ijumaa Wikienda
Jose Chameleone amenyang'anywa gari yake aina ya Escalade na maofisa wa URA baada ya mamlaka hiyo kudai kwamba msanii huyo ameshindwa kulipa kodi yenye thamani ya shilingi milioni saba ya Uganda...
Mama yake na marehemu Hussein Mkieti aka ‘Sharo Milionea' .Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea' amemtuhumu msanii wa...
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa 28 March 2014 imeleta maafa maeneo Kimara na Kuvunja Nyumba ya msanii wa Sauti na Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Babu Ayubu, yeye mwenyewe...
Hongera sana Dogo, dah maana unajituma sana kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinaenda sawa.Na wewe mama lulu umezidi mtoto analalamika sana kuwa unamuomba hela kila wakati, kachoka hadi kaamua...
oma Makala ya mdau wa harakati za Anti-Virus iliyotumwa kwa KaribuNdani leo Alhamis saa 19:30.
ovement ya Anti-Virus ilianzishwa kimya kimya na Mapacha Wa Maujanja Saplayaz baada ya kulalamikia...
1.suma lee
licha ya kutingisha jiji kwa song lake la hakunaga bado njemba hii inanyuti kwa baba yake maeneo ya kariakoo
2..barbana boy
licha ya kuwa na kiki mjini lakini kidume hiki kilizalia...
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work.
thus why naipenda kazi yangu..
AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850
Binafsi uwa ni mpenzi wa hiki kituo cha radio (clouds FM), na uwa nafuatilia sana vipindi vyake kuanzia power breakfast hadi ala za roho. Hivi karibuni nimekuwa nikisikia sijui niite tangazo ama...
I don't usually listen to 1Fm in the morning. I actually like a lot less noise from the radio. i don't like all the shouting and hooting that takes place. But I am sure now that Lulu Saida has...
Hawa kwa sehemu kubwa waliimba uhalisia wengi wao wakiimba moja kwa moja matukio yao halisi yaliyowatokea Ndio maana nyimbo zao nyingi zina hisia za kweli na uhai ndani yake na hazichuji
kwa...
This is a great view Michelle Obama and her daughters will surely never forget.
The First Lady shared a snapshot with her girls Malia Obama and Sasha Obama visiting the Great Wall of China on...
Daz Baba, ujanja mwingi mbele giza
Na Ojuku Abraham
UNALIKUMBUKA vizuri lile kundi la wale vijana wa Temeke, Daz Nundaz? Nini TMK Family, hawa madogo walikuwa balaa. Kamanda ndiyo ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.