hawa jamaa ni balaa sana. Wakati nakua nilikuwa napenda sana hadithi za shigongo.
Badae nikaja kuwajua waandishi wengi sana. Ila walionivutia zaidi ni hawa watatu,..tuwa,shigongo na mzee beka...
wakuu, nimekuja na neno hili baada ya kushuhudia wema Sepetu alivyofanya fujo na kujidhalilisha ndani ya Ofisi za GPL..
kwa kweli kwa jambo kama lile, sidhani kama wema sepetu alistahili kwenda...
Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata.
PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya...
Mwenyewe amekiri Mara kwa Mara kumzimikia mwana muziki wa kizazi kipya, Diamond platnums na kusema ndiye mwanaume anayemzimikia kuliko mwanaume yeyote, na ndiye mwanaume anaye wish kuwa husband...
Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa...
Baada ya wiki chache kupita toka msanii classic bongo,wema isaac sepetu kuingiza mnyama mpya aina ya lexus,uwoya naye kajibu mapigo kwa kununua(sina uhakika) benzi matata sana inayoendana na hadhi...
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show' anachokiendesha kwa...
HOVYOOO! Wema Isaac Sepetu aliye pia Miss Tanzania 2006, amejitoa fahamu kwa kupandisha mzuka na kutinga makao makuu ya Kampuni ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar na kuzua timbwili la aina...
Ile ya Mara ya kwanza nimenyamaza kimya sasa ivi tena mkaamua kubeba habari nzima, yaani Mme copy na Ku paste kwenye Gazeti lenu, wakati mnajua habari mmechukua kwangu, mbaya zaidi hata taarifa...
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza.
Redio hii iliobeba...
She screeched when Jay Z mentioned her name In his song with Jay Electronica titled 'We Made It', (where he also dissed Drake)
Jay Z rapped;
I'm on my Lupita Nyong'o, Stuntin' on stage after 12...
Hapa Owoya akifurahi jambo toka kwa Baba haji kabla ya kukolea kilaji.
Iren Uwoya akiwa anajipapasa mwilini mwake…Kilichofuata sasa Duh Cheki Picha chini.
Mmh hapo sasa sijui alikuwa...
She shared this pic on Instagram with a caption "All I need in dis life I swear, jus me nd my baby....."
Hivi ilo wig si ndio alivaa Diamond juzi kati mnalikumbuka niliweka picha hapa JF
STAA wa filamu za Bongo, Hemed Suleiman PHD, amewataka kina dada wanaomtaka mahusiano ya kimapenzi kukaa mbali naye, kwani kwa sasa ameamua kutulia na mpenzi wake, na anatarajia kufunga ndoa...
Baada ya kutua Nigeria Diamond amedakwa na kufanya Collabo na Mwimbaji wa Kike Anayejulikana kwa Jina la WAJE Ambae inasemakana ndio Mwenye Mafanikio Makubwa nchini humo kimuziki kwa Waimbaji...
Lmao Kim who is on vacation with her family in Thailand learned the hard way that elephants aren't fans of selfies. While trying to take a selfie with an elephant, she got a shocker when it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.