Wadau huwa kuna kitu kinanichanganya kidogo kuna hawa watu wawili huwa sielewi hasa yupi ni manager wa TipTop Connection (Bonge na Babu Tale) naomba ufafanuzi kidogo kati ya hawa nani ni manager...
Tumeshuhudia mastaa kadhaa waliotutoka na kuacha simanzi kubwa kwa watanzania kutokana na umahiri wa kazi zao eg. Kanumba aliliza wengi kutokana na ukali wake kwenye filamu,Ngwea aliliza wengi...
Akiwa anahojiwa na jarida moja la huko nchini Kenya Vanessa Mdee, afunguka mengi ambayo hajawahi kuyasema sehemu nyingine yeyote ile, na kwa wengi wanaomfahamu mkali huyu wa anayezidi ku make...
Akiendeleza vita vya maneno kimashairi pamoja na ucheshi katika misemo yake, Bepari la kihaya ama waweza muita Mpoki kutoka kundi la Orijino Komedi awamu hii akiwa amemshirikisha Ben Pol ameachia...
MGAHAWA wa wasanii wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi (OK), umejipatia umaarufu mkubwa na kujizolea idadi kubwa ya watu, wanaohudhuria Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam...
Wakuu,
Watu wa karibu wa huyu ndugu yetu Millard Ayo wanadai ndio anamiliki mtoto Vanesa Mdee.
Wameonekana sehemu nyingi pamoja, hata interview anazofanyiwa Vanesa na Millard zinaashiria kitu...
Jumapili moja moja nimekuwa nikifuatilia hii show ya TMT. Watangazaji wake (Joti na Lulu) kwa kweli nawakubali, wamejipanga vizuri.
Majaji mmh, namkubali mmoja tu, Monalisa. Richie na yule sijui...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam' amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka...
kesho diamond anaachia video zake mbili,mdogomdogo na bambam aliyoimba na iyanya wa Nigeria.ambayo imelenga soko la nje ..chini ni video link ya teaser ya mdogomdogo aliyoifanyia South Afrika...
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah' amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X.
Linah...
Msanii kutoka pande za Naija aka Nigeria Davido aka Mr. Awards baada ya kuchukua tuzo za MTV, MAMA kama best male na ingine ile ya BET tuzo zote zikiwa ni za mwaka 2014.
Davido ameanza kuonesha...
Aisee jamaa yuko fit jamani,
Wanasema mwenye nacho anaongezewa nilichokiona Jana jamaa alikuwa anarushiwa dolla kama Yale makaratasi ya miatano pale leaders
Nilikuwa Serena hotel KGL tukaambiwa...
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa mshauri na balozi mzuri wa muziki.
Mwaka 2003...
davido kachukua tuzo ya msanii bora kutoka afrika,na hvyo kumbwaga tena Diamond platnumz beiby kama alivombwaga kule south kwenye tuzo za MTV,ambapo diamond alipata aibu ya mwaka kwasababu...
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu.
Wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha...
Wakuu japokuwa sina uhakika sana kama yule mpopo Davido kama alishiriki kwenye tuzo hizi, lakini the comfirmed news hadi sasa Diamond kashinda Kora Music Awards, kama the best male Artist in East...
Kwa wale waliokuwa watazamaji wa ATV(Abood Television)ya morogoro miaka ya tisini mwishoni na mwanzoni mwa miaka ya 2000, kulikuwa na wasanii waliokuwa wanafanya sanaa ya maigizo pamoja na mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.