Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Siku ya jumapili ilikuwa ya furaha kwa wote walioweza kushinda tuzo la BET Awards, na pia ilikuwa siku ya vichekesho kwani MC ambaye alikuwa akiongoza shoo nzima Chris Rock alikuwa akiwashambulia...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Rihanna breaks FIFA etiquette as pop singer touches and kisses World Cup Trophy during Germany celebrations Rihanna posted pictures on Twitter holding the World Cup Trophy alongside players...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Behind the Scenes Dk Hamisi Kigwangalla akifanya kipindi cha Mkasi, Hii Leo kuanzia saa Tatu na Nusu usiku Kipindi hiki kitakuwa hewani. Tizama jinsi Dk Kigwangalla alivyozungumza Changamoto na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
WanaJF, Mimi ni mshabiki sana wa muziki wa Tanzania na hasa muziki ule uliokuwa ukipigwa kuanzia miaka ya 60 mpaka mwishoni mwa miaka ya 90. Kuna huyu mwanamuziki "nguli" ambaye kwa sasa yuko...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Wadau leo namzungumzia huyu mtu anaitwa Babu Tale, amekuwa akijichukulia sifa kwa madai kwamba ndo anayewapeleka artists kwenye next lever na kwamba ndo sababu za almasi kuwa juu kwa jitihada za...
1 Reactions
105 Replies
15K Views
Katika wimbo wake mpya alio mshirikisha Ben Paul. Mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo : " WATU WA BONGO MOVIE, WALA MSILALAMIKE KUPOROMOKA KWA MAUZO YA KAZI ZENU...
1 Reactions
62 Replies
14K Views
STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anapomtokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara . Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kuwa tangu mume wake Juma Kilowoko ' Sajuki ' afariki dunia , wamekuwa wakijitokeza wanaume kibao wakitaka kumuoa lakini...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006 /07, Wema Sepetu , uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Agoma kufanya video ya wimbo alioshirikishwa,anasema hana nguo za kushutia na hayuko tayari kufanya video na director wa Kenya, anataka wa Nigeria/South Africa. #Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama ambavyo Rais Kikwete alikutana na wasanii wakali wa Hollywood wiki kadhaa zilizopita, mmoja wa wasanii hao Terrence D. Jerkins maarufu kama Terrence J amesema anatua bongo Jumamosi ya tarehe...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Vijana wakitanzania watatu wajulikanao kama 3G, wakombioni kuachia singo yao ya kwanza, Mrembo wa Kiafrika. Vijana hawa, ambao wali rekodi singo hiyo mwaka jana ni G Fullah, Frankie G na Oz...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dada yangu huyu msela sana,,namuona hapa kwenye mkasi amekunja jeans yake wala hana habari.
1 Reactions
100 Replies
23K Views
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa !...well kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba. Pia juzi paparazi ilisikika...
1 Reactions
102 Replies
14K Views
1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1. 2. Yupo kwenye mazungumzo na promoter wa Rwanda kufanya show moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni...
1 Reactions
60 Replies
32K Views
Jana nikiwa katika pitapita zangu mitaa ya uswazi kule tandale anapotokea msanii bora kabisa kuwahi kutokea Africa na mwenye uwezo mkubwa wa kuimba na kupiga vyombo mr dangote nilkutana na story...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wafilamu Bongo, marehemu Steven Kanumba ,Charles Kanumba ameibuka na kumtakamama Kanumba , Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali . Baba wa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Hii clip ni ya mwanadada Vera Sidika. Yule Mkenya socialite au mhalaiki mwenye makalio makubwa na nyonga yenye ushepu. Kwenye hii video anakiri wazi kuwa kweli katumia mkorogo profesheno na kweli...
2 Reactions
72 Replies
18K Views
1.JITIHADA BINAFSI - ili huyu jamaa afanikiwe kuzidi wengine wote basi kitu cha kwanza kabisa itabidi awe na juhudi binafsi na sio hadi aambiwe na mangement yake afanye hiki na kile, itabidi ajue...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom