Diamond is one kid who come from very far...his struggle is an inspiration to many. All that can also be seen by the changes in his fashion and style. As his group is called "Wasafi" ..he...
Jamaa amepania kurudi, and I believe he can do wonders. kaongea kwa uchungu pia..!!
Atleast he has confessed that Ruge ndo tatizo sugu against maendeleo yao.
Mastaa wa filamu bongo, jackline wolper (pichani) na elizabeth michael (lulu) kwa wakati tofauti wamejikuta wakionyesha kadi za magari wanazomiliki baada ya uvumi kuenezwa na wabaya wao kuwa...
Mzee huyu alionewa sana, ila iko siku Mungu atamlipia, huwezi kubaka wewe na wanao watatu mkiwa na akili timamu, asiwepo hata mmoja wa kusema hapana, huu ni uonevu wa hali ya juu, kafungwa na...
Kunako miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90, majina ya Ma-DJ yalikuwa makubwa kama ilivyo kwa wanamuziki wa kizazi kipya na cha zamani hivi sasa. Mojawapo ya majina hayo ni DJ Seydou(pichani)...
Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake.
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, OF...
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans amedhihirisha kwamba ana mahaba niue kwa mpenzi wake, Vincent Kigosi ' Ray ' kwa
kulinadi jina lake hadharani kwa kuvaa t - shirt iliyoandikwa Ray Kigosi...
Habari zenu Wanaukumbi.
Wadau wa sanaa, kwa siku mbili hizi nilizokuwa na shughuli kadha wa kadha mitaa ya Mikocheni (Shoppers Plaza) nimepata pishana kama kusalimiana na Msanii huyu nguli wa Hip...
Kuna fan wake kule Twitter kamwambia awe anahudhuria kuchukua tuzo. Unajua alichomjibu, Kwani zimeshafanyika? Hivi kweli huyu dada hajui kuwa zimefanyika na Tuzo kapewa? Team Anaconda inabidi...
Hivi hawa wasanii wa hiphop kuna hata mmoja mwenye gari?
Ukimtoa binamu na Jay?
Hapa na maanisha WEUSI, FID Q, KALA, STAMINA, ROMA, JCB, JAY MO na wengine wengi.
Wasalaam wanajamvi.
Kati ya watu ambao hawakufiri kama msaanii Chid benz angeweza kurudi vyema kwenye ulingo wa muziki Mimi ni mmoja wapo maana nilihisi kama huyu mtu amesha changanyikiwa na...
Wasichana wa bongo, keep your bodies na afya nzuri. Nimemuona Salama Msangi anavyoonekana, sio afya jamani.
Jikubali na maumbile alio kupa mwenyezi.
Lazima mtu ajikondeshe kiasi hicho kweli...
Hii kitu sijaelewa naona wasanii kibao wa mamtoni wakijibizana,ina maana gani hasa?
wanaojua elezeni basi maana naona wasanii wakubwa wanapeana tu hiyo challenge ya kumwagiwa maji.
Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema Sepetu, amejibu kauli ya Diamond Platinumz kuwa Wema ana marafiki wanaomfundisha tabia mbaya na kwamba kama anataka kuendelea aachane nao. Akiongea...
Katika ukurasa wa Instagram mrekebishatabia aliandika hivi:-
Yes. Kuna watu hawaelewi kwanini au why now.. tunampenda sana Wema Sepetu binafsi mimi kama mrekebishaji sifurahii kuona mtu ambaye...
Pamoja na sifa nyingi ambazo amejizolea mwanamuziki Naseeb Abdul "Diamond" ni kweli ana kipaji na pia anajituma katika kazi zake. Ila asisahau kwamba hatua aliyofika leo pamoja na kujitahidi kwake...
Wote ni video director wa video za kibongo wakali sana ninaowaaminia.
niambie mdau kwa mtazamo wako nani anasumbua sana kati ya hivi vichwa viwili?
baadhi ya video za NISHER ni:
Nje ya Box-...
Mh. Samuel Sitta ambae anachuana na wana-CCM wenzake kupata tiketi ya kugombea urais kupitia chama cha mapinduzi kagundua kitu ambacho kitamleta karibu zaidi na vijana masister du na mabraza men...
Nampenda sana Millard Ayo nilijua ana kitu cha tofauti tangu anaanza kazi ya utangazaji.
Sio kwamba nilivutiwa na story yake aliyopitia.
Jamani anastahili credit nyingi sana.
Habahatish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.