Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa Nissan Murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa Manager wa Ney amesema...
0 Reactions
40 Replies
14K Views
Hii interview imefanyika leo 7/31/2014 AZUNGUMZIA KUFANYA VIDEO NJE YA NCHI: ''Unajua madongo mengi yanayorushwa kuhusu wasanii wa bongo kufanyia video nje najua narushiwa mimi ila naamua kukaa...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Msanii bora wa kike africa mashariki, Judith wambura mbibo aka lady jaydee ameandika kwenye ukurasa wake wa facebook idadi ya tuzo anazomiliki mpaka sasa, ambapo amesema hii ni tuzo yake ya 30...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
nilikuwa najiuliza huyu jamaa sijamsikia muda yuko wapi. leo nimemsikia muda mfupi uliopita kwenye taarifa ya habari ya BBC. Taarifa ndio hiyo wadau! Habari njema kwa mashabiki wa aliyekuwa...
1 Reactions
25 Replies
12K Views
So it took nigerians kutambua kipaji na jitihada za huyu dada anayefanya mziki nyumbani sio tu Tz but whole of east africa?Tangu nakua mpaka sasa hivi Jd hakuwai shuka..ni kati ya wasanii wachache...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa kituo cha television cha star tv.hakika wanawasomaji wazuri wa habari na kimavazi wananivutia haswa kwa jinsi wanavyopendeza. lakini kitu kinachonishangaza na...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Gabrielle Union Reveals Her Secret to Staying Younger Hollywood actress Gabrielle Union is already 40 years old, but definitely looks younger than her age. She was recently featured in People...
3 Reactions
85 Replies
11K Views
GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude' limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kansiime Anne ni mchekeshaji kutoka Uganda ambae amesomea Sayansi ya saikolojia kwenye chuo kikuu cha Makerere Kampala Uganda ambako alianzia kuchekesha kama utani kusambaza video zake mitandaoni...
10 Reactions
81 Replies
12K Views
HEAVEN ON DESERT naomba tupe ukweli wa tuzo za diamond we ulisema kachukua mbili et website walikosea kuhusu tuzo kwenda kwa mafikizolo so watalekebisha mbona diamond kaonekana na moja jana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Mabachela sugu; Slaa, Zitto, Mnyika, Machela sugu; Mdee, Vicky Kamata Ambao ndoa zao hazieleweki na sijawahi kuwaona wakitambulisha wake zao sehemu ambazo wamepewa heshima; Mbowe, Lema, Sugu...
0 Reactions
69 Replies
12K Views
  • Closed
Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya Julius K Nyerere, akitokea nchini Marekani alipoenda kwenye...
2 Reactions
211 Replies
19K Views
wana..wakuu wa jf. eid mbaraka. wakuna tetesi ya wale wanahiphop hatari kuja na albam mpya 2015 mwanzoni, kutokana na uvumi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi ametokea kuvuma sana...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
The End of Beyonce and Jay Z? The Craziest Claims From the New York Post's Hit Piece The New York Post claims (again) that music's First Couple, Beyoncé and Jay Z, are no longer crazy in love...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kumbe hizo tuzo anakusanya Diamond ni kwa mgongo wa Davido. Ina maana hakuna hata wimbo alioimba peke yake ambao umekuwa nominated. Ngoja niachie hapa wazee wa data waanze kuzishusha kuona kama...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari vp wana bongo! JAMANI!! kuna hiki kipaji kingine ADIMU NI DOGO ASLEY!! NI bado kijana mdogo lakini anavyocheza na sauti na mbwembwe ni kama mutu ya BAKONGO! ...ebu sikia KIPATE HIKI cha...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na kugonga gema, baada ya kugongwa na gari lingine...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom