Salaam
Yule mshiriki wa BBA season 9 kutoka Africa kusini mrembo Samantha kesho ataingia nchini.
Source: ukurasa wa twitter wa Idri$ $ultan(ultimate hotshot)
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-Thats Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael Lulu...
Huyu ndo kijana mtanashati anayetuwakilisha mjengoni BBA kwa mwaka huu 2014, anaitwa Idris Sultani.
Alikuwa photographer/graphic designer ndani ya kampuni ya i view studio.
Kila la kheri...
"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kis****e hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi flani ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongofleva kinachoongoza na...
Waliokuwa washiriki wa mashindano ya Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan wa Tanzania na Samantha Jensen wa South Africa wameanza kuonesha ukaribu wakiwa nje ya jumba la mashindano hayo...
Nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis Kayumbu Amigoras kwa matatizo ya moyo, Amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18!
Unajua tatizo lake la afya...
Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen...
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion...
Huyu bi dada ni mtangazaji wa Clouds tv yaani anaboa mpaka kichefuchefu. Yupo kwenye kipindi cha Weekendchart show.. kwanza bi dada much know mbaya halafu full kuiga pozi za Nick Minaj, hayupo...
Ehee kwenye pita pita yangu mitandaoni. Ndo nikashangaa kabinti kako Kwa bibi U.K. Nimezoea ya wale wengine kuanzia kwenye ndege mpaka kitandani tungetupiwa tukio, mbona huyu mwana dada ambaye ana...
Staff of Jay Z's Roc Nation wrote in to MediaTakeOut, claiming that Beyonce came into their office to see Jay Z and may have given him oral sex in his office.
Below is what she said I work at...
Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha ripoti zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa na...
Nyumbani kwa muigizaji wa filamu, Wema Sepetu, kumetokea tukio la kushangaza la watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi, kupigwa na kudhalilishwa kwa kuachwa uchi wakidaiwa kuhusika na wizi.
Kwa...
Binafsi nimekuwa nikifuatilia hili suala la Diamond kuwa na msuguano na Davido tokea ushindi wa Idris Big Brother na nikiri kuwa Diamond hakupaswa kusema aliyosema dhidi ya Davido kwa sake ya...