Samantha kutua nchini kesho

wooden flag

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
958
1,000
Salaam
Yule mshiriki wa BBA season 9 kutoka Africa kusini mrembo Samantha kesho ataingia nchini.

Source: ukurasa wa twitter wa Idri$ $ultan(ultimate hotshot)
 

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,070
2,000
Really? Wacha nijiandae kwenda kumpokea Airport.(ukombozi wetu u-karibu).
 

guasa

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,867
0
Huyo msouth hakabii macho anakaba kama man to man style? wacha tamthilia ianze.
 

Manga ML

JF-Expert Member
Jul 6, 2013
8,908
2,000
Dah yule mdada mtam sio masihara video zake sichoki kuziangalia kanivutia sanaaa:tonguez:
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,534
2,000
Anakuja kufanya uzinifu na huyu idriss au anakuja kufanya nini hasa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom