Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Said Fella amejikuta akifichua nia ya January Makamba ya kugombea urais mwaka 2015,amemuhakikishia Salma Jabir kwamba 2015 kijana mwenzao watampa support,yeye (Salma) asubiri ataona.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SMH! https://www.youtube.com/watch?v=rbWF3wMFaUQ
0 Reactions
17 Replies
5K Views
serikali imelifungia shindano la miss tanzania kwa miaka miwili kwa kukiuka taratibu
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ni ugomvi uliodumu kwa muda mrefu kati ya hawa wasanii wadogo wa nigeria tangu nyuma walipoanza kazi zao za usanii. awali wawili hao walikutwa wakiwa na furaha tele kwenye birthday ya kaka yake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe, Kwanza walitapeliwa Mwana FA na AY. AY akaongea mpaka radioni kumtusi Victor Dj rule kuwa aliwatapeli show yao Birmingham then TID tukamsikia kwenye...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Mwaka unakata sasa hatujaskia ngoma za ili kundi wala dogo janja,madee,tunda wakitoa ngoma mpya au ndo meneja yupo bize na platnum.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Diamond kwa mara nyingine ameweza kuonyesha mjengo wa nyumba yake ambayo bado iko jikoni karibu kumalizika. Kupitia mtandao wake wa Instagram,Diamond ameonyesha mjengo wake sehemu ya swimmingpool...
0 Reactions
27 Replies
9K Views
Binafsi ni mpenzi tu wa muziki, sina taaluma yeyote na masuala ya muziki na ninachoandika hapa ni MTAZAMO wangu binafsi wa kile nilichokiona. Watu wengi wamelalamikia video ya Ali Kiba kutokuwa na...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Yafuatayo ni mambo matano yanayomuhusu Ali Kiba ambayo DStv.com kwenye Exclusive interview imeyapata, baada ya kukaa nae na kumuuliza maswali mbalimbali. 1. Anasema amemaliza kuijenga nyumba yake...
6 Reactions
123 Replies
18K Views
Kwa kawaida mimi huwa sipendi mambo ya ku follow the crowd na ushabiki lakini kwenye hili nimeona bora nimwekee thread yake pekee huyu Mtazania mwezetu. Nadhani kama kuna mtu alitakiwa kuenziwa...
2 Reactions
30 Replies
12K Views
Waandaaji wa mashindano ya urembo ya dunia maarufu kama Miss World wamefuta sehemu ya shindano hilo inayohusisha warembo wakiwa wamevalia nguo za kuogelea maarufu kama vazi la ufukweni au Beach...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Edo Kumwembe: ''Nasikia tu kuna bifu Wanigeria vs Watanzania mitandaoni.NINACHOJUA ni hiki hapa, zamani walikuwa wanatuzidi kuuza unga, sasa hivi tumewazidi. Wakatuzidi kucheza filamu, tukawaiga...
5 Reactions
41 Replies
7K Views
Ni hayo tu
4 Reactions
238 Replies
48K Views
Hivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni naomba nitoe hongera kwa mdada au mjasiriamali jokate kwa hatua yake ya kusaini kiasi cha shilingi bilioni 8.1 kutoka kampuni ya kichina itakayomsaidia kutangaza...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014 ), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ' Lulu ' na kudai ni rafiki yake wa...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake , Nasibu Abdul ' Diamond ' , limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa. Tukio hilo...
0 Reactions
175 Replies
24K Views
MTAZAMENI AL GORE ALIVYO BIZE Hakuna atakaye bisha kuwa BEN alikuwa ni msomi sana wa vitabu na nadhani kwa sababu alikuwa ni Humanities graduate. JK on the other hand sijui anasoma nini but...
0 Reactions
88 Replies
20K Views
Huyu producer wa Godfather kashagundua kuwa watanzania wana shobo sana na sio creativity a.k.a ubunifu ndo unawapeleka South Africa. videos ziko kwenye quality ya kimataifa ndio hilo halina ubishi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Haya ni madai mazito! Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando, anadaiwa kutundikwa mimba a. k . a ujauzito unaomfanya hivi sasa kutumia muda mwingi kujificha ndani, Risasi Jumamosi...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Back
Top Bottom