Recho kithunguthungu kaingia UK kimyakimya kupiga show

mimikaye

Member
Jun 5, 2013
88
48
Ehee kwenye pita pita yangu mitandaoni. Ndo nikashangaa kabinti kako Kwa bibi U.K. Nimezoea ya wale wengine kuanzia kwenye ndege mpaka kitandani tungetupiwa tukio, mbona huyu mwana dada ambaye ana kipaji kizuri na star quality yuko private sana wa Bongoflava yake?

Note!
 
dah hii safi sana
 

Attachments

  • Screenshot_2014-12-12-05-53-34.png
    Screenshot_2014-12-12-05-53-34.png
    372.2 KB · Views: 470
Nani ana time na wewe?ndo maana ham endelei
Mpo busy kusifia vya watu vya nje vya kwenu
Mnajidai hamna habari

sasa huyo msanii wako waTZ wanaoishi Kenya tu hawamtambui sasa huku kwa malkia anaenda kumpigia show nani?muwe mnatumia hesabu sio tu mkisikia Dai au kiba walitumbuiza ughaibuni na yeye anapeleka kwato zake.
 
Back
Top Bottom