Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole', kinampa furaha na ufahamu...
Kampeni kubwa ya ZamuYako2015 yenye lengo la kuhamashisha vijana kushiriki katika zoezi kujiandikisha kupiga kura, imeendelea kupamba moto ikiendelea kuungwa mkono na wasanii mbalimbali.
msanii...
KUFUATIA madai kuwa staa wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu , jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake , Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi ...
wadau
Hivi hawa wenzetu wanapokua huko majuu ni kwa nini most of them huwa wanafanya ulimbukeni tuuu instead ya kutumia nafasi wanazozipata kujiendeleza na kuiwakilisha vema tanzania, natoa mfano...
Mchezaji nyota wa Real Madrid ya Uhispania na Ureno Christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi duniani kwenye Facebook.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 30 amempiku Mwanamuziki maarufu kwa...
Ubuyu Kutoka Insta Leo hii unamuhusu Mcheza Filamu Rammy. Page ya Mrekebisha Tabia wamemrusha na kufichua makubwa, Jisomee Mwenyewe Hapo chini:
============
"Jamani rammygalis hata wewe...
Mimi ni mshabiki wa Dina Marios napenda sana utangazaji na ubunifu wake wa vipindi. Alipotoka martenity alituahidi kurudi kazini kupitia clouds Tv yaani atakuwa anaonekana kwenye runinga na si...
Hii ndo kauli ya Ney wa mitego, Mr_Nay Baba wa watoto watatu... Sina #Mke I mean #Sijaoa na Cna mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke yoyote Yule... Kati ya niliozaa nao. Nawapenda watoto wangu...
Jamanii hii ni tetesi lakini nimeamua kuifanya utafiti na nimegundua nyimbo za Diamond zimepungua kupigwa kwenye kituo cha Television na radio cha Clouds baada ya msanii huyu kukataa mchongo wa...
Mtangazaji maarufu, na aliyekuwa mume wa mwanamuziki lady Jaydee, Gadner G habash, hivi karibuni ametoa kauli tata baada ya kuulizwa swali na mwandishi kuhusu Lady Jaydee, ambapo bila hiyana...
Kweli Alikiba anapendwa jamani,
Nimetumia muda wangu wa kupumzika kusikiliza mpambano wa wasanii Radio1 ambapo Alikiba alikuwa akishindanishwa na Ommy dimpoz.
Matokeo ni kwamba katika simu 30 za...
Jokate, mmoja kati ya wanawake waliofanikiwa kutokana na kujihusisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ujasiliamali, ameweza kutoboa kimaisha baada ya kuingia mkataba na Wachina kwa kampuni yake ya...
Mwanadada asiyechuja kwenye tasnia ya filamu za bongo, lulu michael, amesema fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.
Lulu alisema kuwa wasichana...
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki...
Habari wanabodi,
Nilikuwa napita sehemu nikasikia watu wanasema kuna msanii wa Futuhi mwingine mbali na mzee dude(Aliyefariki Jan 214) amefariki,kama kuna mdau anamjua anaweza akatudadavulia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.