Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hili lilikuwa jabali haswa la muziki! Uwezo wake wa kutunga ulikuwa wa kushangaza! Binafsi namkumbuka sana kwa muda wake alioishi na jinsi alivyotuburudisha! Mimi ni mpenzi wa R&B and hiphop...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Ni Njarata na mwenzake...! TUJITEGEMEE -'Promoter wa JF' kwenye forum ya Celebrities
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Akihojiwa katika Kipindi cha Mkasi cha EATV mwishoni mwa mwaka 2014, Msanii Mkongwe wa vichekesho na mchekeshaji bora zaidi aliyewahi kutokea Tanzania, Amr Athuman almaarufu kama Mzee Majuto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanamuziki mkongwe na aliyekuwa mume wa mtangazaji maarufu, Gardner G habash, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee, ameongea kwenye kipindi cha Power Jams kinachorushwa East Africa radio kwenye...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Natoa ushauri wa bure kwa wasanii wetu kina Diamond, Ney, Kiba, Kingwendu, JB, Wolper na wengineo waende English Course ili angalau watoe kazi kwa lugha ya Kiingereza au Kifaransa. Tunafahamu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna siku nilikua nasafiri na basi moja toka mkoa moja, njiani si konda kaweka CD, mwimbaji Nyuki wacha aanze kata viuno! Nilikua nimekaa na mama moja wa heshima nilijiskiaje aibu..
0 Reactions
16 Replies
12K Views
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo...
3 Reactions
71 Replies
43K Views
Hivi inakuaje binadamu anamkataa mtoto wake?.Chris brown amechanganyikiwa kabisa tangia ajue mtoto ni wake. Amemuomba huyo mama wa mtoto ahaime ili aweze muona mwanae. Sasa Kama wewe umo humu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kenya Police band play Tanzania's Diamond Platinumz song "You are my number one" during a luncheon at the end of the 16th East Africa Community Heads of State Summit in Nairobi, Kenya, on...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini". Mbongo flava nuh mziwanda pamoja na kukumbwa na kichapo mara kwa mara wadakuzi wa michepuko wamebaini...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kama ulikuwa hujui basi naku habarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel, hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni...
0 Reactions
38 Replies
18K Views
You were such a beautiful and talented woman, cancer has taken you too soon. Am praying for the day when the world will defeat cancer. R.IP
4 Reactions
72 Replies
18K Views
Rapper wa TMK,inspecta anatarajia kwenda nchini japan kutoa ngoma na video mpya
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, amesema hajaweza kufanya kitu chochote kuwasaidia wasanii kwa kuwa wakati anagombea Ubunge hakuna aliyekuwa nyuma yake. Sugu amelazimika kusema...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi:@nay, naomba usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd.. tena ulintukania hd mamang marehem, nilikushukuru tu.. nilikaa kimya kwa...
0 Reactions
103 Replies
24K Views
Wana Jukwaa!!! Hivi yule selebu maarufu wa kundi la vichekesho la ORIJINO KOMEDI, JOSEPH SHAMBA yu wapi siku hizi? Maana ni muda mrefu nafuatilia vipindi vya komedians hao na simuoni. Pia hata...
0 Reactions
92 Replies
30K Views
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India...
0 Reactions
41 Replies
14K Views
Mfukuze mbali shetani anayekuambia huwezi..
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi. Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari za muda huu, Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Back
Top Bottom