Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Habari ndugu wana JF, nimeanzisha uzi huu nikiamini huenda ZARI akauona anitatulie tatizo langu. Mimi nilikuwa follower wako mzuri tu kule instagram. . Nilichokuwa nikifanya ni ku double tap tu...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Week hii wasanii wengi wameachia nyimbo zao pamoja na video miongoni wa wasanii hao ni Linex na video yake ya Salima aliyomshirikisha Diamond, Jux na video yake ya Nikuite nani, Ommy Dimpoz na...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Hivi ITV hawaoni mapungufu ya huyu dada? Bora mumrudie Godwin kila siku! =========
3 Reactions
83 Replies
28K Views
Nimepita Instagram kwenye account ya Snoop Dog kapost picha ya Beaber nimeshangaa matusi anayoporomoshewa huyo dogo nikajiuliza kulikoni? Amewakosea nini wapenzi wake wa miziki? Au ndio dalili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi? Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi Samahanini kwa...
0 Reactions
111 Replies
18K Views
Habari Wanabodi, DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani...
2 Reactions
27 Replies
15K Views
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu...
2 Reactions
43 Replies
17K Views
#Repost instagrampartytz ・・・ It is a very unfortunate moment for all that We had to take such a hard decision to announce the termination of our employee Mr. Seth...
1 Reactions
73 Replies
22K Views
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi...
9 Reactions
152 Replies
28K Views
Mwanamuziki nguli wa kike hapa Tanzania Lady JayDee ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya mashabiki wake wa Instagram...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Hatimae Aunty Ezekiel amejifungua mtoto, Hongera kwake!
0 Reactions
65 Replies
19K Views
Just imagine how hot is it on the bed.. lol wema, kajala and ant ezekiel you made it, so mwaaaah!! lol is hot style or bad?
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Jamani Wema sepetu Mimi hata wamsemeje nampenda Sana Ana roho nzuri Sana huyu mdada love you wema Alafu yule shoga kajala nae sasa huna hata utu hukufikiria Wema alivyokusaidia kwa habari...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Play back zimepitwa na wakati. Jumapili Fid Q alifanya show Billz kwa kutumia band na jana Ally Kiba huko Moshi naye kafanya the same. Inavutia kushuhudia show za mtindo huo. Wasanii wengine...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeshtuka nilipo ona tangazo eti kua sasa utakua unapiga harakati zako za kupinga matumizi ya madawa kupitia kutangaza Clouds TV.. Kwa kifupi umeajiriwa na hao watu wa Clouds kama mtangazaji...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Katika kusheherekea sikuuu ya mwanamke Duniani, Mwanamuziki mwenye hadhi ya kipekee bongo, Judith wambura mbibo maarufu kama Lady jaydee ame share story yake fupi kuhusu bifu lililowahi kutokea...
4 Reactions
52 Replies
11K Views
Me nimekuwa na albamu zao ambazo walizigawa bure.kusema ukweli me sikupenda baadhi ya approach zao kama vile kutukana matusi direct tena ukizingatia Mr Sugu ni mheshima kwa sasa. ila nilipenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu'. TAMBO ZA NANI ZAIDI? Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike...
2 Reactions
35 Replies
27K Views
Kim Kardashian and Kanye West have refused to let their daughter feature on Keeping up with the Kardashians. This is apparently because they want her to have some privacy and be able to be a child...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Sidhani kama kuna producer apa bongo mwenye kifafa cha akili, ambaye ataweza kumlipa LULU mil 15 kwa movie moja tu. Achilia mbali uigizaji mbovu Wa Lulu Michael, hakuna movie yeyote aliyowahi...
9 Reactions
54 Replies
11K Views
Back
Top Bottom