Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Rapa na Nguli wa Muziki wa Hip Hop, Sean "Diddy" Combs ameongezewa mashtaka sita mapya yakimshutumu kwa unyanyasaji wa Kijinsia dhidi ya Wanaume, Wanawake na Mvulana wa Miaka 16 Imeelezwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello the Bosses and Roses. Katika kuelekea kuufunga mwaka wetu huu wa 2024, embu twende pamoja katika kuwapa tuzo wasanii wetu wa Muziki kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kuhakikisha jamii yote...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa ile flow yake,Swaga kwenye beat na aina yake ya kuumiza Collabo, Albert angeweza kufanana na rapper gani pale Marekani. Mimi naona T.I wewe je?
3 Reactions
5 Replies
518 Views
Diva aliolewa na mganga wa kienyeji. Waliachana kwa tafrani kubwa hivi karibuni. Je fundi hiyo hampigi makombora yenye vichwa vya nyuklia? Maana hawa jamaa wana mambo yao. Mpaka Diva ana lala...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Huyu mwanamama sijamsikia muda mrefu... Nimesikia kibao chake cha Shoga hapa kikanirudisha mbali sana.. Vipi kwa sasa yupo wapi na anafanya nini? Uzi tayari!
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali. Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio...
13 Reactions
159 Replies
12K Views
Katika hali inayojionyesha nia ya kujenga himaya ya utawala kwa siku za baadae, Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemwaga kiasi kikubwa cha fedha mkoani Tabora ili kumsaidia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
HIZI DEGREE ZA HESHIMA KUTOKANA NA MCHANGO WA MTU KWA TAIFA ZIMEKUWA ZIKITOLEWA KWA WANASIASA TU NCHINI KWETU. KITU NINICHOJIULIZA KWA NINI FANI NYINGINE HAWAPEWI?? JE MTU KAMA BAK ANASTAILI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"KULIKONI, Jumatano 4, 2008 Na Gordon Kalulunga, Mbeya Shehena kubwa ya pembe za ndovu imekamatwa mkoani Iringa ikisafirishwa kutoka mkoani Mbeya kupelekwa Dar es Salaam ili ipelekwe nje ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Meneja wa @harmonize_tz #Beauty Mmari a.k.a @mjerumani_255 amtambulisha msanii wa kwanza aliyemwaga wino kusimamiwa na lebo ya Konde Music WorldWide Kupitia ukurasa wa Instagram meneja huyo wa...
5 Reactions
66 Replies
11K Views
Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka! Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Akiwa katika kipindi cha Jirani kupitia Crown FM, mwanamuziki Abby Chams anasema hajawahi kula miguu ya kuku wala firigisi hazijui. Mwijaku akamuuliza unapajua Mburahati? Akamjibu hajawahi...
16 Reactions
117 Replies
6K Views
Habarini, Ninaposema celebrity entrepreneurs, namaanisha vijana maarufu wanaotrend mitandaoni kwa kuwa na hela nyingi kama kina chief godlove, Ontario/ sirjeff Dennis wa forex, Niffer, na...
28 Reactions
51 Replies
4K Views
Huyu jamaa anatoa Wapi pesa. Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania. Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai. Wakuu huyu...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Mpigapicha na Muongozaji Video (Director) wa Msanii Rayvanny anayefahamika kwa jina la Eric Mzava anatuhumiwa kuiba mtoto wake na kutokomea naye huku akimuacha mzazi wenzake akihaha kumtafuta...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkono mtupu haulambwi! Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili. Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
20 Reactions
115 Replies
8K Views
Bilionea Ned Nwoko kutoka nchini Nigeria amesema huwa hafungi ndoa na Mwanamke ambaye sio bikra. Bilionea huyo hadi sasa ana wake 6 anaishi nao wote hadi sasa. Maneno hayo alitamka kwenye...
15 Reactions
45 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…