Kundi la ant virus la mr sugu na wenzake

benon

Member
Sep 30, 2012
31
14
Me nimekuwa na albamu zao ambazo walizigawa bure.kusema ukweli me sikupenda baadhi ya approach zao kama vile kutukana matusi direct tena ukizingatia Mr Sugu ni mheshima kwa sasa. ila nilipenda idea yao ya kutetea maslai yao na wasanii wengine. sasa najiuliza mbona wapo kimya? ni kwa sababu Sugu amepatana na Ruge? kwani hii ilikuwa ni kwa sababu ya bifu au ilikuwa ni kwa sababu ya kutetea maslahi ya wasaniii.? me ningependa mapambano yaendelee tena show zao zilikuwa zinajaza kwel kwel ... na watu walikuwa wanaburudika. nakumbuka ile ya fiesta ya Mbeya yaani ile ni fundisho kwa hao watu wa fiesta wanaowalipa wasanii wa ndani ujira mdogo. Sugu inuka uendeleze mapambano. ukikaa kimya kwa sababu eti umepatana na Ruge wakati ulikuwa unasema ni ukwel tutakuona ni msaliti na mnafki kwa sisi tuliokuwa tunakupa support kwenye hili jambo
 
Wanunulie Bangi uone kama hawajaanza kuimba matusi kesho tu, wameishiwa pesa za Bangi sasaivi.
 
Fanya mchezo na kukosa show za Clouds zinawaumizaga kishenzi.Mwenzao afande amenyamaza sasa hivi
 
Sugu na Vinega wote wameshakubali kuolewa na RUGE,chezea ruge weyee.Nilikuwa nawaona majembe kumbe nguvu ya soda tu wamesanda kama Kalapina na Afande,wamebak kupiga majungu tu fesibuku mara ooh Rickross alipe kodi.RIP VINEGA
 
me nawashangaa alikuja kwa kasi sasa wamenyamaza
 
Bhhhaaaaasssss!!!!hili neno hawa mapimbi wanaojiita vinega ni dongo kwao!....support waliyoipata ustawi katika tamasha lao imebaki historia baada ya shangazi yao 2proud kusanda kwa wakali wa Mawinguni!
 
Me nimekuwa na albamu zao ambazo walizigawa bure.kusema ukweli me sikupenda baadhi ya approach zao kama vile kutukana matusi direct tena ukizingatia Mr Sugu ni mheshima kwa sasa. ila nilipenda idea yao ya kutetea maslai yao na wasanii wengine. sasa najiuliza mbona wapo kimya? ni kwa sababu Sugu amepatana na Ruge? kwani hii ilikuwa ni kwa sababu ya bifu au ilikuwa ni kwa sababu ya kutetea maslahi ya wasaniii.? me ningependa mapambano yaendelee tena show zao zilikuwa zinajaza kwel kwel ... na watu walikuwa wanaburudika. nakumbuka ile ya fiesta ya Mbeya yaani ile ni fundisho kwa hao watu wa fiesta wanaowalipa wasanii wa ndani ujira mdogo. Sugu inuka uendeleze mapambano. ukikaa kimya kwa sababu eti umepatana na Ruge wakati ulikuwa unasema ni ukwel tutakuona ni msaliti na mnafki kwa sisi tuliokuwa tunakupa support kwenye hili jambo

Una kipaji cha UCHAWI
 
Sugu na Vinega wote wameshakubali kuolewa na RUGE,chezea ruge weyee.Nilikuwa nawaona majembe kumbe nguvu ya soda tu wamesanda kama Kalapina na Afande,wamebak kupiga majungu tu fesibuku mara ooh Rickross alipe kodi.RIP VINEGA

Ugomvi haujengi. Watu wakipatana ni jambo la kheri. Nashawishika kusema we MCHAWI.
 
Sugu na Vinega wote wameshakubali kuolewa na RUGE,chezea ruge weyee.Nilikuwa nawaona majembe kumbe nguvu ya soda tu wamesanda kama Kalapina na Afande,wamebak kupiga majungu tu fesibuku mara ooh Rickross alipe kodi.RIP VINEGA

Yamkini umri wako ni ule wa papara mbele giza,ambao haujui thamani ya kufanya amani na watu,ukikua utajua tu,
 
Back
Top Bottom