Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwanamitindo na msanii wa muziki Tanzania Hamisa Mobetto amekubali kwenda dubai na mchezaji wa soka wa Yanga Ki Aziz kwa siku nne baada ya kuulizwa kama atakubali kenda nae jana katika usiku wa...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya...
39 Reactions
238 Replies
8K Views
Namuulizia huyu jamaa haonekani TBC haonekani mtaani. Yuko wapi huyu ndugu yetu mtangazaji mahili. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
5 Reactions
24 Replies
9K Views
"Nilipopata kwa mara ya kwanza takribani bilion 3 ,niliwapa mama na baba yangu zaidi ya milioni 400 kila mmoja na mwanamke wangu akaachana namimi kwa sababu nilimpa milioni 13 tu." __ Akon...
63 Reactions
109 Replies
73K Views
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi...
14 Reactions
424 Replies
184K Views
KUANZIA muvi ya “Straight Outta Campton” hadi andiko la kitaaluma (dissertation) la Kristen Bowen, Chuo Kikuu cha North Carolina. Documentaries za “In The Dark”, “Surviving Diddy” kisha “Freak Off...
18 Reactions
35 Replies
32K Views
Harmonize....Sitaaki Kuongelea Zile Haso zake za BSS....zile haso zake za kutoka hadi Diamond kuja kumuona Na kuamua Kumsign Na kuwa msanii wake Chini ya WCB! Alitoa Aiyola...
36 Reactions
115 Replies
32K Views
Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma? Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa...
17 Reactions
74 Replies
4K Views
Google pamoja na wana sayansi wa dunia wamekubaliana kwamba watu marufu funian tangu enzi na enzi Isack newton iko juu ya Yesu, wakati Yesu ni Mungu mbona yanachanganya wakati Mungu huyu huyu ndo...
5 Reactions
102 Replies
5K Views
Sean “Diddy” Combs ametuma barua ya kuzuia filamu mpya inayomhusu Shyne, mmoja wa wasanii wake wa zamani. Filamu hiyo inadai kwamba Shyne alichukua hatia kwa niaba ya Diddy kwenye kesi maarufu ya...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Kwanza niwape pole na msiba wanmwigizaji mwenzenu Fredi.Mwenyezi Mungu amweke marehemu mahali alipojitqyarishia wakati y'u hai. Imekuwa nintabia ya miaka nenda rudi na imekuwa utaratibu wa maisha...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nna declare interest mimi ni shabiki mkubwa wa Professor Jay na kwenye list yangu ya MCs bora wa muda wote nimemuweka nafasi ya pili. Napenda sana muziki wake hata siasa zake nilikuwa...
42 Reactions
117 Replies
6K Views
1.... D voice Huyu alisainiwa ktk lebo ya wcb na diamond kwa mkwala mkubwa sana ikiwemo kualikwa viongozi, wanasiasa n.k, lakini nyota yake ni kama imefunikwa na mawingu, hana tofauti na wasanii...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996) Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii kitu ya madawa ya kulevya inatuharibia kabisa watoto wetu. Huyu kijana nafikiri alishiriki Big Brother mwaka fulani na kuiwakilisha Tanzania. Na kwa sasa hii ndio hali ya afya ya Nando, zaidi...
13 Reactions
387 Replies
85K Views
Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita. ========= UPDATES: ========= Video queen maarufu...
40 Reactions
1K Replies
284K Views
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini...
6 Reactions
2K Replies
380K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…