Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Last May, shortly after word began to spread that Dr. Dre had sold his eponymous headphone line to Apple AAPL -2.25%, the superproducer made a proclamation: rap's first billionaire was about to be...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zilizoripotiwa na clouds kwenye page yao ya Instagram wanasema usiku wa kuamkia leo majambazi yamevamia nyumbani kwa Alli - Kunduchi, na kukomba kila kitu. Kwa bahati Nzuri, Kiba hakuwepo...
0 Reactions
85 Replies
22K Views
Achilia mbali umri kuwatupa mkono, achilia mbali mastaa hawa kuzaa ila bado mienokano yao inadai, namzungumzia mjasiriamali na mkurugenzi wa Bench Mark Production na founder wa BSS, Madam Ritha...
0 Reactions
95 Replies
24K Views
Kwa wenzangu mliopata kadi za bure mtaungana namimi, ileparty ilitakiwa kuitwa Diamond white party na sio Zari white party. Kwanini nasema hivi wengi waliitarajia kumuona Zari kama mhusika mkuu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Tumeshuhudia baadhi ya watangazaji wa Radio wakiandaa matamasha yao binafsi kuwatumia baadhi ya wanamziki kutumbuiza. Hivi hii inaruhusiwa na mabosi wao au inakua part ya mikataba yao na mara...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJamii, I hope mko vizuri jumamosi hii. Jana ile party iliyokuwa inasuburiwa kwa hamu EAST AFRICA nzima ZALI ALL WHITE PARTY ambayo ilifanyika pale Superbrand Hall Mlimani City Beibee....lol...
2 Reactions
130 Replies
26K Views
Huyu kipusa kanifanya nipende sana kuangalia taarifa za habari za Al-Jazeera. Huwa sichoki kabisa kumwangalia. Mdada ana ngozi nyororo yenye rangi ya chungwa. Acha tu niendelee kumfaidi...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, Siku hizi Rose Muhando haonekani katika matamasha kama ilivyokuwa zamani na inasadikika hali yake ni mbaya kiafya. Wapo wanaodai anaumwa kwa sababu ya madawa ya kulevya (unga) na wapo...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe atakuwepo katika kipindi cha Mikasi studio za EATV saa tatu na nusu usiku. Zitto Kabwe atazungumzia masuala mbali mbali ya chama cha...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Zikiwa zimebakia siku chache tu Pambano la karne kutokea, baadhi ya mastaa wameendelea kutupa karata zao. *Upande wa Manny Pacuaiao. kuna - Sylivester Stallone "Rambo" - Mike Tyson...
3 Reactions
89 Replies
13K Views
Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Clouds FM, msanii Diamond Platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua Mei 1 kwenye Party ya Zari inayofahamika kama Zari...
0 Reactions
301 Replies
58K Views
Armed robbers broke into Tanzanian singer, Ali Kiba’s house Sunday morning and made away with his belonging, says Bongo5.com. Ali Kiba’s younger brother, Abdu Kiba, says the robbers were more than...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama...
0 Reactions
94 Replies
23K Views
Zari the BOSS Lady akichezea kidevu cha Diamond wakati akihojiwa na Clouds TV pamoja na Clouds FM mapema leo asubuhi
0 Reactions
79 Replies
17K Views
Wageni toka nje ya Afrika wanaokuja Afrika na kuvutiwa na utamaduni wa kiafrika wanaongezeka siku hadi siku.Kwa hapa Tanzania kijana mdogo wa miaka sita toka Denmark,Espen Sorenson alimfuata baba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mbali na kuwa bondia mkubwa sana lakini pia ni Mbunge wa huko nchini kwake Ufilipino na tetesi zilizopo ni kwamba anataka kugombea urais wa nchi hiyo maana raia wake wanamkubali sana kwa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu Salam, Nilikuwa na swali ambalo nimekua nikijiuliza kwa sababu kuu mbili; Moja ni Kutaka kujua progress in terms of commercial growth and success kwa wasanii na celebrity wetu. Na pili...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
So sad! Kuelekea Zari show. Baba yake Diamond ambae anaumwa sana miguu ameshindwa hata kutembea ameomba mwanae amsamehe kama baba na pia ameomba aje kumtembelea ampeleke hospitali asisubiri kufa...
5 Reactions
174 Replies
39K Views
Pamoja ya kuwa mbabe alikuwa anaogopa kwenda jela Jinsi Mike Tyson alivyojaribu kwenda kwa mchungaji kuhani asifungwe gerezani baada ya kumdhalilisha mpenzi wake katika simulizi hilo jipya Mike...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…