Zitto Kabwe live leo EATV kipindi cha mikasi

Dkt Kilembwe

Senior Member
Apr 25, 2015
154
102
Kiongozi wa Chama cha ACT-WAZALENDO Ndugu Zitto Kabwe atakuwepo katika kipindi cha Mikasi studio za EATV saa tatu na nusu usiku. Zitto Kabwe atazungumzia masuala mbali mbali ya chama cha ACT-WAZALENDO. Lini Chama kitaanza ziara ya awamu ya pili.

Daftari la kudumu la wapiga kura na mashine za BVR, Lakini atazungumzia mgomo wa madereva na mkwamo wa serikali kushindwa kutatua adhima huo na nini serikali inatakiwa ifanye na mambo mengine ya kitaifa. Ni kipindi cha kwanza cha Mikasi kwa ndugu Zitto Kabwe tangu ajiunge na chama cha ACT-WAZALENDO.

Usikose,mwambie na jirani yako
 
Sema huwa sipendi maswali yasiyo na mantiki ya yule binti....
 
Ina maana kafulia namna hyo mpaka anaenda kwenye vipindi vya hovyo hovyo?
 
kipindi hakina maadili mru mpaka ubaulizwa mara ya mwisho ulifanya ngono lini.
 
Ni mara ya pili ktk kipindi kidichizidi mwezi mmoja anahojiwa na hicho kipindi....kuna kitu nyuma ya pazia
 
Ni mara ya pili ktk kipindi kidichizidi mwezi mmoja anahojiwa na hicho kipindi....kuna kitu nyuma ya pazia

Bavicha usiogope ni marudio tuu..lakini kama una hisi kudawa basi tulia ikuingie usipige kelele kama John Mnyika!
 
Last edited by a moderator:
Si ndo vizuri kwenye TV , news anapata kila mtu hapo...pigo hilo tena kwa wanaomdiss
 
Bavicha usiogope ni marudio tuu..lakini kama una hisi kudawa basi tulia ikuingie usipige kelele kama John Mnyika!

Ziara ile mikoa yote kapata wanachana elfu 6! Sasa hizo akili au matope si bora akae tu afanye vipindi na futuhi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom