There's something cooking. Yawezekana ni muendelezo wa Alikiba kukaa vitu vilivyofutwa vumbi na Dangote Mr. Diamond Platinumz. Eti kaka Alikiba kaambiwa akikaa viti hivi na yeye nyota yake...
Habari wana JF,
Luther Vandross Snr,aliyezaliwa mwaka 1919 alioana na mpenzi wake wa utotoni Mary Ida(Aliyezaliwa 1922) akiwa na umri wa miaka 27.Vandross snr na Mary walibahatika kupata watoto...
Umofia kwenu JF,
Nilikuwa namuangalia Sam Misago na wageni wake ambapo mmojawapo ni msanii giggy money. Kiukweli mavazi anayovaa hayana maadili yoyote na EATV huwa wanampenda sana kumuweka, yaani...
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel ambaye hivi sasa ametibuka kutokana na ujauzito mkubwa alionao, ameeleza kuwa kila saa na kila siku anamuomba Mungu amjaalie ajifungue salama maana maneno ya watu...
Umofia kwenu wana JF,
Alfajiri mishale ya saa kumi ya jana ilikuwa siku mbaya kwa kundi la kina French Montana,NWC baada ya member mwenzao Chinx kufariki dunia kwa kumiminiwa njugu za kutosha...
Just asking...
Ni kweli wengi wamerambwa sana na maprodyuza wao?
Ni kweli kila baada ya shoo kuna jamaa amekaa siti ya nyuma anasubiri kwenda kupiga mzigo the whole night na nyie mnashangilia...
STEVE NYERERE ANADAIWA KULAMBA FEDHA ZA KABURI!
TAKRIBAN mwaka mmoja tangu mwigizaji Adam Kuambiana aiage dunia, kaburi lake limeibua skendo ya wasanii kudaiwa ‘kuchikichia' fedha za...
How come haujamfollow hata mtu mmoja kwenye account yako...au ndo mapozi yenyewe haya..ina maana hata hutaki kushow love kwa wasanii wenzio :what::mad:
Kwa anaejua alipo & anapiga mishe gan huyu aliekua comedian wa ze komedi ya EATV atutonye. Maana siku hizi simuoni kabisa Ze Komedi, alikuaga anafit sana hasa kwenye segment ya mazuzu ingawa Bambo...
Habari iliyotufikia leo hii, kutoka kwa mwanamuziki mkongwe wa r n b nchini, Judith Wambura Mbibo au maarufu kama Lady Jaydee, ni kuhusu kufungwa kwa biashara yake ya Bar n Restaurant aliyokuwa...
Wako wapi MB Dog, Z-Anto, Keisha, Pingu, Spark, Dongo Janja na wengine waliowahi kujitoa Tip Top Connection? Kuna nini Tip Top, kwamba ukijiondoa tu huwezi kufanikiwa mbeleni? Kwanini ni...
Habari zenu wakuu,
Huko Instagram kumenuka baada ya Maimatha kushushiwa shombo za samaki na kujikuta yuko feli akivua samaki kutokana na matusi yaliyompelekea kufuta kila post iliyokua...
Staa wa muziki Alikiba amesema kuwa video shooting ya wimbo wake ‘Chekecha' ambayo imepangwa kufanyika Afrika Kusini, imechelewa kutokana na vurugu dhidi ya raia wa kigeni (Xenophobia)...
MASTAA wa filamu Bongo , Aunt Ezekiel na Kajala Masanja , juzikati walikutana na kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30 ) kumsengenya aliyekuwa shosti wao , Wema Sepetu .
Tukio hilo...
Kwa kuangalia historia ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ni zaidi ya marafiki ambao walikuwa maswahiba walioshibana kiasi kwamba hakuna mtu anaeweza kujua kama leo watakuwa maadui. Na urafiki huu...
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameibua maswali kwa mashuhuda walimuona live akiingia kwenye hekalu la watu wa Jamii ya Siri (Secret Society ) ya Freemasons yenye nguvu...
Watu walikua wakimbeza gavana kwamba hamuwezi mtoto mbichi kama Lara. Lakini yeye aling'aka na kusema anaweza fanya hata zaidi ya kazi vijana wanazo zifanya.
Gavana huyu aliyeanza kwa kukimbia...