King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,677
- 94,576
Umofia kwenu JF,
Nilikuwa namuangalia Sam Misago na wageni wake ambapo mmojawapo ni msanii giggy money. Kiukweli mavazi anayovaa hayana maadili yoyote na EATV huwa wanampenda sana kumuweka, yaani leo kavaa kipensi kinachoishia kwenye sambusa na kalio lote linaloonyesha bonde la ufa wazi wazi.
BASATA mmulikeni na huyu huenda akawa anafanya biashara nyingine tofauti na mziki.