Diamond named and honored as icon of the nation

Diamond named and honored as icon of the nation

Paul S.S

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2009
Posts
6,411
Reaction score
3,279
ImageUploadedByJamiiForums1432140711.398696.jpg
 
Iv cku hz watanzania tunakula maharage ya wap
Hadi diamond??tumepotea
 
Iv cku hz watanzania tunakula maharage ya wap
Hadi diamond??tumepotea

hahahaha unafikiri kwenye upande wa burudani na michezo ni nani ametangazia sifa Tanzania na kwa lipi??? hicho ndio kinachohitajika hapa sio maharage ya wapi ya wapi coz yangekuwa yamepigwa marufuku mashuleni..
 
kupiga kura tuzo za watu mwisho leo saa sita usiku so keep on voting diamond abebe kiroho safi

sms TZW11C kwenda 15678

unaruhusiwa kurudia hadi simu iishe chaji
 
Last edited by a moderator:
Oyooooooo!!jamani eeenh hebu angalieni BBC dira ya dunia leo maana diamond yuko ndani ya nyumba mazee!

Domo anajitahidi kuvunja yai aka kikristo aka lugha ya malkia
 
Hongera sana Diamond,juhudi zako za kuitangaza TZ zimekufikisha hapo.Endelea mbele kwa mbele.
 
Iv cku hz watanzania tunakula maharage ya wap
Hadi diamond??tumepotea

Kuna mwanamziki mtanzania anayefahamika, na ambaye amaeitangaza Tanzania kimataifa katika fani ya burudani ya Mziki kama Diamond?
 
BBC Dira ya Dunia - Kijana Diamond mjengoni

[video]https://youtu.be/nkQsBkIHP64[/video]
 
mwambieni akampigie magoti davido tena maana mwaka huu tuzo zimekua ndoto kwa kijana wenu
 
Ukiwa na rais muislamu tegemea haya maana wao ni kuwaza wali na futari tu
Kigogo hapa tu ndipo unaponikera!
Please acha mambo ya udini, hua najisikia vibaya sana unapoukandia uislam....
Jaribu kubadilika, mseme mtu yeye kama yeye na sio dini yake.
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi ya ajabu Sana kuna watu kama Judge Mwalusanya, lukangira na Mtikila japo wanadharaulika ila bila wao human Rights sijui ingekua wapi
 
Back
Top Bottom