Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni. Hivi ni nchi gani wakuu?
1 Reactions
68 Replies
16K Views
Aliyekuwa mume wa mwanamuziki wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameapa kwa kulamba kidole, kukichovya kwenye mchanga kisha kukipitisha shingoni kuwa, hana mpango wa kurudiana na mkewe huyo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu dada kipindi anaanza alikuwa vizuri lakini siku hizi anajifanya mjuaji mwanaharakati wakati harakati zenyewe hawezi amekuwa akifarakanisha ndoa nyingi. Huku akiwashauri wanawake waachike...
5 Reactions
66 Replies
12K Views
Nimeichukua kama ilivyo kwenye page ya Voda. Wakazi wa Moshi mko tayari kwa burudani kabambe kutoka kwa mtumbuizaji bora wa Afrika Diamond Platnumz? Ijumaa hii ndani ya Kili Home jukwanii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mweusi uso usio na chunusi,natural color,chotara,mrefu,maji ya kunde kaenda hewani sekunde. Anatema slang,Anamwaga ngeli,anabonga ung'eng'e Yaani alivyomweleza ni kwamba huyu binti ni...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Joaquin Guzman Loera a.k.a El Chapo mzaliwa wa mexico na mfanyabiashara mkubwa wa madawa ya kulevya anayetafutwa na Marekani na Mexico kwa udi na uvumba, leo nimeamua kushare na nyinyi wanaJF...
4 Reactions
23 Replies
11K Views
Kidogo wandugu tuchemshe bongo kwa hili ambalo limenitatiza bila kujua nini hasa shida. Hebu chukua Mdada Mtanzania ambaye bado hajawa star,Celebrity Ktk Muziki,bongo movie ,utangazaji na hata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chris Brown's new $4.5 million pad in the San Fernando Valley is huge ... but it's still not big enough for all his kicks.While the 8,317 sq. ft. pad has 6 bedrooms, Breezy's converted one room...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa sasa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati . Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Sawa hatukatai video yako ikichezwa unalipwa Ila hizi promo nyingine mnazidisha yani nyimbo kupigwa mpaka mmeomba then leo mna sema tena mmelipwa kisu kirefu. Mimi sio hater sio team yoyote mi...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada , staa wa Bongo Fleva , Judith Wambura ' Lady Jaydee ' au ' Jide ' yupo bize jijini Hong Kong , China akila bata...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Na nimekusiliza kwenye kipindi cha siasa za siasa nimegundua mambo matano kuhusu wewe. 1. Una ufahamu mkubwa sana kuhusu mambo mengi. 2. Unasoma sana vitabu hivyo vinakujenga kifikra na...
8 Reactions
46 Replies
11K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. KUFUATIA kuwepo kwa makundi yaliyotokana na watangaza nia 42 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakiwania nafasi ya...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho. Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu...
1 Reactions
119 Replies
19K Views
Nimemsikia Dangote kwenye kipindi cha Mseto, anasema kuwa ile collabo aliyofanya na Mr Flavour alikuwa aifanye na Ludacris...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ray C anaweza kuwa amezivunja roho za wanaume zaidi ya 500 waliojipanga mstari kujibu ofa yake aliyoitangaza kwenye Instagram kuwa anatafuta mume. Kwa mujibu wa tovuti ya Bongo5 Ray C amesema...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba leo wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom