Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa sasa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati . Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Sawa hatukatai video yako ikichezwa unalipwa Ila hizi promo nyingine mnazidisha yani nyimbo kupigwa mpaka mmeomba then leo mna sema tena mmelipwa kisu kirefu. Mimi sio hater sio team yoyote mi...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada , staa wa Bongo Fleva , Judith Wambura ' Lady Jaydee ' au ' Jide ' yupo bize jijini Hong Kong , China akila bata...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Na nimekusiliza kwenye kipindi cha siasa za siasa nimegundua mambo matano kuhusu wewe. 1. Una ufahamu mkubwa sana kuhusu mambo mengi. 2. Unasoma sana vitabu hivyo vinakujenga kifikra na...
8 Reactions
46 Replies
11K Views
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. KUFUATIA kuwepo kwa makundi yaliyotokana na watangaza nia 42 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliokuwa wakiwania nafasi ya...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nipo hapa nikifuatilia waliokuwa wagombea wakitoa neno la mwisho. Kama kuna mnaofuatilia kwa karibu Mara Migiro akasema namsukuru mume rafiki yangu Migiro nachelea kumwita mpenzi kwa sababu...
1 Reactions
119 Replies
19K Views
Nimemsikia Dangote kwenye kipindi cha Mseto, anasema kuwa ile collabo aliyofanya na Mr Flavour alikuwa aifanye na Ludacris...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ray C anaweza kuwa amezivunja roho za wanaume zaidi ya 500 waliojipanga mstari kujibu ofa yake aliyoitangaza kwenye Instagram kuwa anatafuta mume. Kwa mujibu wa tovuti ya Bongo5 Ray C amesema...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wasanii wa sanaa za maigizo maarufu kama ‘Bongo Movies’ wanaoishabikia klabu ya Simba leo wamekabidhiwa kadi za uanachama wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mpoki ana misemo yake kama ''umeshindwa kurusha vocha utaweza kurusha ndege"" Zembwela ana misemo yake kama "Mapatano ufukweni baharini uvuvi tu'' Kila mtu ana swaga zake za kuongea ila nani...
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Kupitia Mkasi ya leo ya EATV Masako amedai ile sauti ni creativity ili kuvutia wasikilizaji na watazamaji wa vipindi anavyoviendesha.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huwa napenda kusikiliza hii Radio kila siku asubuhi wakati najiandaa kwa ajili ya siku yangu. Kuna mtangazaji wa radio hii anaitwa Kibwana Dachi, ni mzuri sana. Ana analysis kali na uelewa mpana...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mchora katuni mashuhuri Masoud Ally Kipanya alimaarufu kama Kipanya amefunguka na kusema kuwa amekuwa akishawishiwa nawatu wengi sana kuingia katika siasa na kufanya siasa kutokana na harakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa nasikiliza hapa sasa hivi wimbo wa Lady Jaydee Bongo radio, nahisi ni wimbo wake mpya, unless niko nyuma ya wakati. Huu wimbo ni full vichambo kwa aliyekuwa mumewe Gadner, manake...
4 Reactions
40 Replies
6K Views
  • Closed
Habari zenu wadau. Nimeona IG kuwa mume wa Shamim amtishia Mange bastola. Kunani??? Nimeona IG nikabaki kushangaa
2 Reactions
124 Replies
17K Views
Kufuatia kupost maneno yanayoelekea kupiga kijembe viti maalum imetafrisiriwa kuwa ni kijembe kwa Wema Sepetu. Lulu ameandika sura nzuri peleka reception, Tako Peleka (..)hapa ni vyeti na alama...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
U Heard leo Soudy Brown kampata msichana ambae ametoka Mkoani kuja Dar kwa ajili ya kukutana na Aslay wa Yamoto Band.. Msichana huyo anadai ametoka Geita kuja Dar kukutana na Aslay. Dada...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale. Akizungumza na Bongo5 leo...
0 Reactions
63 Replies
20K Views
Back
Top Bottom