Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki.
Ni katika...
King of pop Afika mashariki, Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake' kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa...
Nipo naangalia kipindi cha Take One cha Zamarad Mketema.
Wema kakiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba.
Kanumba...
Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani.
"Just announced at a press conference in Dar es Salaam...
Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....
Wasalaam Wanajamvi Happy New year 2015!.
Ni wazi JF ni zaidi ya Google pengine hata detail za shetani haziwezi kosekana humu! Ali Kiba ni mmoja ya wasanii ambao wanajiheshimu na hawapendi...
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema...
kwako Wema I. Sepetu ninakuandikia maneno haya, uyashike, uyakumbuke siku zote za maisha yako na kuyasimamia ili uweze kufika katika kilele cha mafanikio ambacho weengi hutamani kufika lakini...
Lustig, aka The Count.
Victor Lustig was born in 1890 in what is now the Czech Republic. As a youngster he studied languages. He also studied people: their habits, mannerisms, and especially...
Mwimbaji mashuhuri duniani ,Chris Brown ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter Jumatatu kuhusu ugonjwa wa Ebola na kutoa maoni yake.
''Sijui , lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya...
Hivi karibuni kumezuka wimbi la wasanii wanaofuatana na wanasiasa kwenye michakato yao ya kutangaza nia. Wao wanadai eti ndio Kazi yao. hawaoni kwamba wanatumiwa kuleta watu walishwe uongo wa...
Aisee haya maisha ya mastaz ni shida,mtu unavaa fake ili ionekane upo juu,sasa hii account ya Insta nadhani ya huko majuu,ilimwumbua jamaa mpaka akadelete account akaja na mpya.
Jana nilistuka kumuona aliyekua mtangazaji wa Radio One, Amina Mollel kwenye kipindi cha Malumbano ya hoja kinachoendeshwa na ITV. Nakumbuka kwa mara ya mwisho alikua TBC na amekuwa haonekani siku...
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry.
Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA...
Wasifu wa Wema Sepetu
Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006.
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu(Katikati)
Maisha ya...
Kama Siti alivua taji la Miss Tanzania baada ya kuonekana kuna udanganyifu kwenye wasifu wake .
Na wewe tuzo ya utunzi bora mrudishie Barnaba, tuzo ya utumbuizaji bora mpelekee Diamond.
Hizo...
Kiukweli diamond yupo level nyingine kabisaaaaaa....
Leo unakuta diamond unamwita kwenye show mil 40 anakataa labda ujipange kuanzia mil 50/60 wakati hakuna msanii Tanzania anaelipwa hata nusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.