AFRIMA kwa kirefu ni All Africa Music Awards na hufanyika na zitafanyika Nigeria kwa kipindi cha hii miaka (2014-2016) ambapo kila msanii wa Africa ana haki ya kutuma nyimbo zake ambapo baada...
Huko Instagram mdada Wema Sepetu, the failure one:eek:, amepost picha ya Magufuri na kusema "Huyu ndiye raisi wangu wengine wa kukodi tu"..
Hahaha kilichofuata kwa mafollowers wake sasa ehee..
muigizaji wa bongo movies Irene Uwoya aliyejiunga na ccm na kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalum tabora yupo hatarini kupoteza cheo chake cha ubunge wa viti maalum na huenda wabunge viti...
Rafiki yangu anayefundisha Idara ya Muziki amependa sana mashairi ya nyimbo kadhaa zilizoimbwa na wanamuziki hao watatu niliotaja haoi juu.
Nilimsaidia kuyatafsri kwa kiingereza, lakina sasa...
DIAMOND'S CAMP SAY UNBOTHERED OVER BABAY'S DNA
Dar es Salaam. Life on the fast lane has its price as socialite Zari Hassan and Bongo Flava star Diamond Platinumz would testify.
After the birth...
Hatimaye lile bifu lililodumu kwa miaka kadhaa baina ya mastaa wawili wa muziki waliounda Top Band , TID na Q-CHIEF llimezikwa rasmi leo ndani ya studio za CLOUDS FM.
Mastaa hao wamehaidi kuja na...
Kuna mwana dada anaitwa ladynaa alipost tuhuma kwamba Diva anajikomba kwa petitman kwa kumtumia sms za kimahaba
Diva akaja juu na kukanusha hajawasiliana na kutishia anakwenda polisi...
Kumekucha Instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan.
Mie sijui nani mchokozi...
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.
Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba...
Ulimwengu una maajabu mengi na mitandao ya kijamii inatusaidia kuyafahamu. Uhusiano wa Diamond na Zari the Bosslady haujawahi kupokelewa vizuri na ex wake Ivan aliyezaa naye watoto watatu wa...
Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo...
Jay Z‘s got a (bubbly) new product hitting the market, and it comes at a hefty price.
Last November, the mogul purchased the Armand de Brignac champagne brand, taking control of one of...
Nilitaka kujua wadau kuhusu hawa jamaa wawili yaani KING GK kwa hapa bongo na NE-YO kule unyamwezini, hawa jamaa toka nianze kuwafahamu, iwe kwenye interviews au videos, au picha, sijawahi kuona...
The late Tomy Mboya alikuwa ni muumini mkubwa wa ujamaa ambaye alitamani kuiona Kenya ikiwa socialist country hata hivyo mpaka anaivuta pumzi yake ya mwisho ndoto yake haikutimia.
Siku za hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.