Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

King kiba angetunga bonge la nyimbo kwa ajili ya ukawa kwasababu inaonesha ni mpenda mabadiliko siyo kama wale waliyonunuliwa
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Nchi zote duniani kuna masikini (wa kipato) na matajiri wa kipato. Hata siku moja haitatokea kutokuwa na masikini; la sivyo maneno masikini na matajiri halingekuwapo kwenye msamiati (vocabulary)...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
•Wasanii wawili manguli wa Bongofleva nchini, Alikiba na Diamond Platnumz wamechaguliwa kuwania Tuzo za AFRIMA AWARDS zitakazofanyika Tarehe "13th-15th of November" in Nigeria...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
CHINDOMAN~huyu ndo A town Icon na ni fundi haswaa wa story katika nyimbo zake,story ya nyokaa,tumbonii,na nyimbo zake nyingine nyingi,umbwaa anaweza sana kupangalia story kwenye verse JCB~ukisikia...
0 Reactions
48 Replies
16K Views
Leo katika kipindi chake cha super mix amediliki kusema yeye hataki siasa. Hivi huyu mtu anajitambua kweli? Mimi ni shabiki wake na kila siku nilazima nimsikilizage Ila leo ameniacha hoi. Hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila'Ray C' amedaiwa kufanya vurugu katika hospitali ya Mwananyamala,jijini Dar baada ya kuchelewa kupata dawa za kupunguza makali ya matumizi ya madawa...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
  • Poll Poll
Hii ndio thread itakayomaliza ubishi kati ya hawa wanamuziki wawili. Chagua msanii unayemkubali kisha vote. Team zote mbili karibuni sana Created by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Habari wana Jf Hivi kuna hii tabia ya watu tofauti kuchanganya wadhifa wa watu bila kujitambua. Ni nini hasa tofauti kati ya superstar(staa) na celebrity(mtu maarufu). Nahisi itasaidia wengi...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Niwapongeze wasanii Aunt Ezekiel, Jackie Wolper, Shamsa ford na Nay wa mitego kwa kuunga mkono mabadiliko katika nchi yetu. Si jambo ndogo kuacha rushwa na vitisho vya CCM na kuunga mkono...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Muimbaji wa kundi la Rock la U2 na mwanzilishi wa One Campaign, Paul David Hewson maarufu kama Bono amewakutanisha wasanii wa Afrika wakiwemo Diamond, Banky W, D'Banj, Omotola, Waje na wengine...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimeshangaa kuona DTV nao eti wameanzisha kipindi cha mahojiano na wasanii huku wakiwa kwenye salon kama anavyo fanya salama kwenye kipindi cha mkasi tena mda uleule salama anaporusha kipindi. leo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Nimeanza kuona weusi na Vanessa wanatumia resources kibao kujitangaza AFRICA ila mimi kwa mtazamo wangu naona ni ngumu. MOJA YA SIFA YA MALENGO NI KUWA Lazima yawe ACHIRVABLE( yawe...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wanajamvi naomba mwenye taarifa na mahali alipo mtangazaji wa zamani wa vipindi vya muziki katika televisheni ya CTN Rahma Aziz. Ni mmoja wa watangazaji wachache wabunifu katika vipindi vya muziki...
2 Reactions
61 Replies
19K Views
Nyumba ya msanii Batuli aka Cleopatra yaungua moto akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni. Hata hivyo hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha isipokuwa hakuambulia kitu chochote. ======== Msanii wa...
1 Reactions
84 Replies
19K Views
The next James Bond could be black or gay, argues 007 veteran Pierce Brosnan. “Sure. Why not?” the Irish star was quoted as telling men’s magazine Details when asked if he could picture a gay...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nlikua shabiki mkubwa sana wa bwana mdogo diamond ila kwa post yake ya kikabila leo nimemdharau sana. ..ckatai yy kushabikia CCM Bali maneno yake yanaweza kuwa na impact kubwa sana kwa jamii yaje...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Habari wakuu! Muda huu nipo hapa chaderz records Dar, Nimepata upenyo wa kusikiliza Audio ya Wimbo wa Alikiba x Christian Bella, kwakwel kama ni kufuru basi hii ni zaidi ya laana, kama ni dharau...
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Nasema mmejiita kioo cha jamii kwa sababu sijaiona taarifa rasmi inayosema ninyi wasanii wa muziki, filamu etc ni kioo cha jamii. Kwa mbali sana ningeweza kuelewa wanariadha au wacheza mpira wa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu! Mpaka sasa hizi ndo jumla ya collabo za Alikiba zilizokamilika na zilizopo jikoni. 1.Christian Bella X Alikiba Jina la wimbo ni "Nagharamia" Owner wa collabo wote 2 Bella na...
3 Reactions
41 Replies
28K Views
Verse 1(Delvin):Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We, Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake, Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We, Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake, (Bien): Huenda...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Back
Top Bottom