Diamond: Zari hajawahi kuolewa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
akihojiwa na radio Clouds Fm kupitia kipindi cha 255 amesema Zari hajawahi kuolewa na hata Zari mwenyewe hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa.........bwahaha

Diamond amesema hana muda wa kufuatilia maisha ya mtu ya zamani kinachomata ni kuangalia uhusiano wao wa sasa....amesema pia hajapokea barua yeyote kutoka mahakamani inayomtaka kwenda hospitali kupima DNA zaidi ya kuona watu wakihangaika mitandaoni kuhoji DNA ya mwanae...
 
kutoka Bongo5

• • •

Diamond Platnumz amesema Zari hajawahi
kuolewa na kwamba hadi sasa hajapokea baruajn
yoyote kutoka mahakamani ikimtaka kuchukua
vipimo vya DNA vya mtoto wake, Tiffah.

Kwa mujibu wa Diamond, barua iliyowekwa
kwenye akaunti ya King Lawrenc ni moja ya njia
ya swahiba hiyo wa ex wa Zari, Ivan ya kujipatiaj
umaarufu.

“Sijapokea barua yoyote,” Diamond ameiambia
255 ya XXL kupitia Clouds FM leo.

“Unajua lazima tujue kila mtu anatumia mitandao
kwa njia zake. Wengine wanatumia kutafutia
umaarufu kama hivyo which is not bad but
kupata umaarufu ni kazi sio, mtu anatafuta njia
yoyote kutafuta umaarufu na watu wakamsikiliza
na kupata pongezi kwa sababu amekaa amebuni
kitu mpaka watu wakamsikiliza,” amesema
Diamond.

“Zari hajawahi kuolewa kwanza, ni story tu hizo,
lakini hajawahi kuolewa, ukimuuliza mwenyewe
anasema hajawahi kuolewa kabisa,” amesisitiza
staa huyo.

“Unapokuwa na mahusiano na mtu huwezi
kufuatilia vitu vyake vya nyuma. Tumeanza
maisha yangu mimi na yeye sidhani kama
umeshaona post yangu yoyote ya kumzungumzia
vibaya ndio maana nikiona vitu ambavyo navisikia
naona ni uongo, mimi sifuatilii maisha ya mtu.”
 
Last edited by a moderator:
Mtu yupo tayari kuongea uongo kwamba aliyekuwa mpenzi wa rafiki yake kazaa mtoto wake,, si ushoga huo?? Afu Ivan nae katuliamo tu hana la kusema yupo radhi uongo wowote aongelewe zari??

Pesa sio kila kitu wajameni, cheki mashoga hao wanavotapatapa, Siipatii picha siku Chibu kaoa kabisa patachimbikaaaaaaaaa hahahahahaha
 
Kazi kweli kweli watu waliopata watoto watatu kuachana huwa ni ndoto. Kukumbushiana muhimu aisee coz they share a lot of experience together. Hyo ya king Lawrence na ivan ukute wanatafta kiki tu na hivi walishawaona wabongo ni bendera fata upepo. Basi watatumia kila kitu kujipatia kiki
 
Hivi kuolea maana yake nini?
So kuishi na mtu zaidi ya miaka mitano, kuzaa naye watoto 3, kukuhudumia kama mke na wewe kumuhudumia kama mme sio kuolewa?
Alivishwa pete ya uchumba na kutolewa mahali ule ni ndoa ya kimila.
Akisema ya kale ya mtu yamepita hapo nitamwelewa.Lakini kupinga kuwa Zari hakuolewa ni kujipumbaza
 
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,
 
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.
 
Kwa bongo ni miaka miwili, chini ya paa moja na watu wawatambue kama mke na mme.Hii inakuwa presumed kama ndoa endapo kuna mustakabali wa kujaribu kupigania haki ya watoto walozaliwa hasa
Cc: Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,

Hapo wanajaribu kumuharibu jamaa kifkraa hahaha hapo lazima kinukee.ukisikia cheza na skill za watu kuna weza kuwafanya watu vichaa ndio huko.subirii
 
Heheheee haya mambo nayaangalia tu kwakweli.
Ila kama binadamu hili suala litakua linamuumiza sana diamond.
Alichoharibu ni kuzungumzia hili suala, angekaa kimya ingeleta maana zaidi maana wale akina richgang mwisho wangekaa kimya...ila yeye kukataa kua Zari hajawahi kuolewa ametia petrol katika moto.
Kimya huwa jibu zuri siku zote, ila diamond ndio vile tena......
 
Hapo wanajaribu kumuharibu jamaa kifkraa hahaha hapo lazima kinukee.ukisikia cheza na skill za watu kuna weza kuwafanya watu vichaa ndio huko.subirii

Hili jambo lazima litakuwa na mwisho wa mwingine kulia mwingine kucheka
 
Mond kajitoa ufahamu sana. Zari akihojiwa kwenye sporah show anakiri ametalakiana na Ivan. Na kuna picha inamuonesha akitolewa mahari na Ivan hivyo hakufunga ndoa ya msikitini au kanisani ila alifunga ya kimila. Kupenda kusimpofue.
 
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.

kibongo bongo miezi kadhaa tu tayari mnakuwa mme na mke kwa sheria za hapa
 
Hivi kuolea maana yake nini?
So kuishi na mtu zaidi ya miaka mitano, kuzaa naye watoto 3, kukuhudumia kama mke na wewe kumuhudumia kama mme sio kuolewa?
Alivishwa pete ya uchumba na kutolewa mahali ule ni ndoa ya kimila.
Akisema ya kale ya mtu yamepita hapo nitamwelewa.Lakini kupinga kuwa Zari hakuolewa ni kujipumbaza
Pre -assumption of marriage....! Pengine Diamond amenukuliwa vibaya maana bila shaka Zari na x-husband walishakaa pamoja chini ya paa moja zaidi ya mwaka mmoja!
Labda kama alijaribu kusema Zari hana ndoa hadi sasa....na ilisha vunjwa na hata kama ilikuwa ya kimila bado itatambulika!

Kuna mazingira yanayompa ushindi Zari kuwa mtu huru lakini kusema hajawai kuwa na ndoa ni uongo labda kama hakuwai kufanya sherehe ya ndoa nitakubali!

Lakini naamini Zari na Iv walitengana na kuachana ..!
Bado Zari atamshinda huyu jamaa maana hatoweza kwenda mahakamani kuna mazingira mengi yataonesha hawako pamoja na Zari kwa sasa na yeye sidhani kama alishawai kwenda popote kujaribu kupigania mahusiano yake na Zari!
 
Impliedly wote walikua wanakubaliana na hali ya mahusiano ya kindoa kufika mwisho.
 
Kazi kweli kweli watu waliopata watoto watatu kuachana huwa ni ndoto. Kukumbushiana muhimu aisee coz they share a lot of experience together. Hyo ya king Lawrence na ivan ukute wanatafta kiki tu na hivi walishawaona wabongo ni bendera fata upepo. Basi watatumia kila kitu kujipatia kiki
Hiyo ya tiffah ni frastuation na maumivu ya Ivan kumuona Zari yuko happy wala mtoto siyo wake..
Nimesoma mahali kuwa ndugu wa Ivan wamemzawadia benz tiffah, sielewi elewi haya mambo,
 
Mond kajitoa ufahamu sana. Zari akihojiwa kwenye sporah show anakiri ametalakiana na Ivan. Na kuna picha inamuonesha akitolewa mahari na Ivan hivyo hakufunga ndoa ya msikitini au kanisani ila alifunga ya kimila. Kupenda kusimpofue.
kumbe walisha talakiana basi swala ni rahisi sana..
Impliedly wote walikua wanakubaliana na hali ya mahusiano ya kindoa kufika mwisho.
 
Hao walikua mke na mume kabisa mana hata bongo ukiishi na mtu ka mwaka tayari ni wana ndoa hao.
Ya kale yanapita kama hawakuzaa pamoja watoto wale ni bond ya wazazi kupasha kupasha kiporo.

Haitambulik hiyo kisheria...

Ndo maana watu wanang'ang'ania kwenda kanisan kufunga ndoa na sio tuu kuishi kindoaaa...
 
Back
Top Bottom