Verse 1(Delvin):Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(Bien):
Huenda...
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa...
Hifadhi ya taifa Diamond platinumz amepewa shavu kuwepo katika kampeni ya The Global Goals ambayo inahusikana na vita ya kutokomeza umasikini, njaa, maradhi na matatizo mengine katika bara la...
BARUA YA WAZI KWA MAMLAKA HUSIKA ZOTE, JUU YA SWALA LILILOMKUTA SHILOLE KWA KITENDO CHAKE CHA KUONEKANA AKIWA ANATUMBUIZA NCHINI BELGIUM HUKU SEHEMU ZAKE ZA MWILI ZIKIWA NJE MIEZI KADHAA...
Wasalaam wana Jf,
Nikiwa kama raia ambaye ili nipunguze 'stress' za kila siku za kimaisha, nahitaji burudani mbalimbali! Mojawapo ya burudani ni muziki na maigizo. Nimesikitishwa na wengi wa...
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' amekumbwa na masaibu mapya ya kuvamiwa na vibaka nyumbani kwake, Mbezi Beach jijini Dar na kumuibia simu zake mbili aina ya Iphone.
Tukio...
Duniani kunamambo, huyu jamaa anapesa si mchezo, anawatoto watano aliozaa nao na wanawake wawili tofauti na sasa jabadili jinsia sasa sijui hao watoto wake wanamuonaje aisee! soma zaidi kuhusu...
Hatimae jana Idris Sultan alizirusha game zake 2 binafsi playstore (kwa wale wanao tumia simu za android wanaelewa nazungumza nini, nakupata sifa kedekede kwenye makampuni na mashabiki wake...
Basata wanatakiwa kujifunza toka kwa NBC ya Nigeria sio Basata kila cku Ina fungia video za ndani ya Tanzania za nje zinazoharibu watoto wetu na wadogo zetu zinaendelea kupeta na kupigwa mchana...
Nigeria imepiga marufuku nyimbo kadhaa kuoneshwa kwenye TV na kupigwa katika vituo vya redio.
Agizo hilo limetolewa na tume ya udhibiti wa matangazo, Nigeria Broadcasting Commission.
NBC...
wakuu, BASATA na TCRA hii ni barua ya wazi kwenu ;Sina budi niseme kwamba BASATA na TCRA bado hamjatutendea haki Watanzania kwenye sanaa kuhusu maadili kabisa kabisa ,mmekuwa watu wakushtushwa...
Ni kingkiba moja ya wasanii wa Africa waliobahatika kukutana na kufanya kazi na wasnii wanaofahamika duniani kama R.Kelly na saizi tena ni Neyo !!!wasanii wenine wengine wa Africa ni kina Davido...
akihojiwa na radio Clouds Fm kupitia kipindi cha 255 amesema Zari hajawahi kuolewa na hata Zari mwenyewe hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa.........bwahaha
Diamond amesema hana muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.