Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wapo wanawachana team kingkibaka na team maex wa Diamond now XXL. Wacheni ujinga nyiee!
1 Reactions
73 Replies
14K Views
Africa Reconnect a platform for women who have made remarkable contributions to the growth and development of the various nations in Africa has today awarded 11 Africans whose contributions to...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Hip hop P Diddy amekamatwa kwa kushukiwa kumshambulia mtu kwa silaha mjini Los Angeles. Kisa hicho kinadaiwa kufanyika katika chuo kikuu cha California Jumatatu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki. Ni katika...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
King of pop Afika mashariki, Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake' kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Nipo naangalia kipindi cha Take One cha Zamarad Mketema. Wema kakiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba. Kanumba...
3 Reactions
111 Replies
23K Views
Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani. "Just announced at a press conference in Dar es Salaam...
3 Reactions
277 Replies
32K Views
Wanajv naomba msaada was ufaamu celebrity no kitu gan Mimi sielewi japo nasikia wengi wsnasema celebrity
0 Reactions
27 Replies
3K Views
WanaJF Napenda kufahamu watoto wa Martin Luther King pamoja na mke, wako wapi? na wanafanya nini? please taarifa amijuze.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Wasalaam Wanajamvi Happy New year 2015!. Ni wazi JF ni zaidi ya Google pengine hata detail za shetani haziwezi kosekana humu! Ali Kiba ni mmoja ya wasanii ambao wanajiheshimu na hawapendi...
1 Reactions
621 Replies
87K Views
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema...
2 Reactions
78 Replies
8K Views
kwako Wema I. Sepetu ninakuandikia maneno haya, uyashike, uyakumbuke siku zote za maisha yako na kuyasimamia ili uweze kufika katika kilele cha mafanikio ambacho weengi hutamani kufika lakini...
7 Reactions
50 Replies
10K Views
Lustig, aka The Count. Victor Lustig was born in 1890 in what is now the Czech Republic. As a youngster he studied languages. He also studied people: their habits, mannerisms, and especially...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwimbaji mashuhuri duniani ,Chris Brown ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter Jumatatu kuhusu ugonjwa wa Ebola na kutoa maoni yake. ''Sijui , lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hivi karibuni kumezuka wimbi la wasanii wanaofuatana na wanasiasa kwenye michakato yao ya kutangaza nia. Wao wanadai eti ndio Kazi yao. hawaoni kwamba wanatumiwa kuleta watu walishwe uongo wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aisee haya maisha ya mastaz ni shida,mtu unavaa fake ili ionekane upo juu,sasa hii account ya Insta nadhani ya huko majuu,ilimwumbua jamaa mpaka akadelete account akaja na mpya.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jana nilistuka kumuona aliyekua mtangazaji wa Radio One, Amina Mollel kwenye kipindi cha Malumbano ya hoja kinachoendeshwa na ITV. Nakumbuka kwa mara ya mwisho alikua TBC na amekuwa haonekani siku...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry. Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA...
12 Reactions
552 Replies
75K Views
Back
Top Bottom