Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz ' na mtoto wa dada yake Esma , Taraj wamezua gumzo la aina yake baada picha yao kutupiwa mtandaoni na watu kudhani ni yule Tiffah...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
R.KELLY,P.DIDY,MARIAH KELLY,TONY BRAXTON,SNOOPY DOGY DOGY,JERMAINE DUPRI, hawa wanamziki kwa sasa age yao inagonga miaka 45 to 50. lakini bado wanakamua na song kali hatari. Tofauti na wasanii...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu tusaidiane hapa, Ni kwanini wasanii wetu hapa Bongo wanaogopa kuongozana na familia zao katika matukio muhimu mfano wanapoenda kuchukua tuzo za aina mbalimbali wanaenda peke yao tu tofauti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikua napita pita youtube nikajikumbushia ngoma ya "she wolf" ya shakira hiyo namba ya views sasa ni kiboko (japokua ni kwaida kwa wasanii wa mbele kua na viewers wengi),posted 6yrs ago,number...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu nina hoja fupi sana hapa! Why Joti anapatia sana kwenye matangazo ya Tigo? Alikimbiza na mzee Mwalubadu na sasa anavuruga na hili tangazo la Tigopesa. Joti amewafunika wasanii wote ila...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
​ (The Hollywood Reporter)Comedian Damon Wayans shared his theory on the reasons behind the sexual assault allegations against Bill Cosby when he visited Power 105's The Breakfast Club on...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jackline wolper jana alivishwa pete ya uchumba.Tumuombee safari ifike salama mwisho isije ikaishia njiani kama ile maana mpaka dini alibadilisha picha zinajieleza. Wambea wenzangu mpo
3 Reactions
65 Replies
19K Views
Huyu ndio mshindi wa TUSKER PROJECT FAME 6 kwa mwaka huu 2013 anaitwa HOPE kutoka BURUN
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Chuchu Hans amethibitisha katk mkutano wa ccm moro kwamba amerudi ccm, leo hii taarifa inasema Juma Nature ametangaza kurudi ccm ktk kampeni, hii ikoje wadau? ina ashiria nini? vijana wasanii...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
King kiba ameweza Leo kufanya shoo ya kampeni uko mtwara na kukata mauno vilivyo wakati anaimba wimbo wa chekecha na kuwa furahisha ccm na bwana Magufuli hasa kwa ule wimbo wake wa kimasomaso na...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Nyuma ya safari za mara kwa mara za Mbongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ za nchini Nigeria, kumeibuka madai mazito kuwa , anapokwenda huko hufundishwa mbinu za uchawi ili kukubalika...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
WanaJF, Kwa wale waliokuwa wanatilia shaka uhusiano wa Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr Wilbroad Slaa na mchumba wake Josephine Mushumbusi wameumbuka kwani tayari mahakama ilishatengua ndoa...
11 Reactions
143 Replies
18K Views
Kazi anayofanya mwandishi na na mtangazaji wa BBC imekubalika sana hasa kwa watangazaji chipukizi wa TZ Nilikuwa naangalia habari mlimani TV ... Kuna mtangazaji anaitwa David Nkya.. Yaani...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Staa wa filamu Bongo , Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake , akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee , anayemzidi umri kwa miaka saba ...
2 Reactions
59 Replies
15K Views
Watu wanamwaga povu kisa Diamond na baadhi ya wasanii wamejitokeza kuipigia kampeni CCM na madai yao ni kwamba wasanii ni wasaliti wa mabadiliko!! Guys, are serious?! Hivi ni kwamba hatufahamu...
12 Reactions
91 Replies
13K Views
1 Reactions
66 Replies
11K Views
Alikiba ndiyo msanii aliyepata nomination nyingi (4) kuliko wasani wote wa East Africa, huku hasimu wake Diamond akiambulia nomination 2 kwenye tuzo hizi. Note: Hii ni kavu kavu bila collabo...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Huyu jamaa nakumbuka sana jinsi alivyokuja kwa kasi sana na hit songs zake kama Silali, Marry me, Follow me, Roho yangu. Hadi nakumbuka kuna interview moja msanii Diamond aliwahi kukiri kuwa Rich...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Kama ilivyo ada kuwa upatapo mtoto ni lazima umpatie jina, lakini wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina pasi na kuwa na sababu ya kwanini wanafanya hivyo. Lakini hii ni tofauti kwa msanii...
2 Reactions
20 Replies
11K Views
Wanajamvi, Katika wasanii ambao nilitegemea wawe karibu sana na CCM ni Ray C...siongelei kiushabiki maana ni ukweli ulio wazi Ray C amesaidiwa sana na Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kiasi kwamba...
1 Reactions
54 Replies
17K Views
Back
Top Bottom