Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Mr Nice ameponea chupuchupu kupoteza maisha baada ya kudai kula chakula chenye sumu.
Mr Nice akiwa amelazwa hospitali
Kupitia ukurasa wake wa facebook Mr Nice ameandika:Mungu ni wakutumainiwa...
Afya ni majaliwa ya Mungu,leo kundi la OK linasimama majukwaani kwenye kampeni za ccm hata kutoa post mitandaoni za kudhihaki afya ya Lowassa wamesahau yalimpata mwenzao Vengu? mwaka wa nne leo...
Jionee mwenyewe.
============
Mashabiki wa Diamond Platnumz wavamia ukurasa wa Neyo wa Twitter
Baada ya MTV kutangaza Neyo atakuwa jukwaani kwenye utoaji wa tuzo za MTV mashabiki wa Chibu...
Zimepita ziku chache tangu Ikulu iandae sherehe kubwa iliyoitwa ya Rais kuagana na wasanii, ambapo katika sherehe hiyo wasanii mbalimbali wa filamu na muziki walihudhuria na kuungana na viongozi...
Hii ni TOP 10 kati ya video za wanamuziki wa Afrika 2015 zilizotazamwa zaidi Youtube.. Na kati ya mafanikio anayoweza kujivunia mwanamuziki, ni suala la youtube ambapo inaonyesha;-
+ Ni jinsi...
Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya
kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika
akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa
kampeni ya Umoja wa mataifa, United Nations
Global Goals...
Kichwa cha bongo fleva, kinazidi kutuwakilisha vema anga za kimataifa, na hii ni zamu ya MTV EMA ambapo huwa wanachaguliwa wasanii bora watano tu!! wa kwenda kujumuika na wasanii wa marekani...
Wakuu! Mbali na team ya Diamond kuendesha propaganda na uongo wa kila namna katika mchakato wa upigaji kura wa tuzo za Nigeria Entrainment Awards (NEA), kuwa eti Mashabiki wa Diamond wamepiga...
Yule mtangazaji na Dj mahiri wa kike wa kipindi cha XXL kinachorushwa na kituo cha redio ya watu Clouds Fm amekua kimya mda mrefu sana sijamsikia akitangaza, Je ameshasepa hapo mjengoni?
Na kama...
Msanii Ali kiba amenogewa na ccm na kuomba kampeni zifanyike mwaka mzima ambapo jana alikuwa morogoro katika kampeni za kumnadi Magufuli kuonyesha jinsi alivyopania izi show baada ya kukaa na...
Tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oct - 2015, wasanii mbali mbali walijitokeza kuunga aidha UKAWA au CCM. Ni ukweli usiopingia CCM imekusanya kundi kubwa la wasanii...
PENZI ni kikohozi, kulificha huwezi ! Habari ya mjini kwa sasa ni mahaba niue ya muuza nyago kwenye nyimbo za wanamuziki wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange ' na staa wa muziki nchini...
MYNER SPARTAN MDADA CELEB WA KIBONGO AMBAYE ANAKIMBIZA KWA UZURI MJINI HAPA NA NI MPENZI WA CELEB MWINGINE WA KIBONGO AITWAYE DULLAH SPARTAN
MUNGU AWAONGOZE KWENYE MAPENZI YAO