Alikiba umetuangusha watanzania

Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Ultaka nyimbo zake zisipigwe mawingu fm kama angekataa kupost
 
Umetuangusha mashabiki wako na kutugawa wapenda mabadiliko.Mimi si shabiki wako tena....Asante
 
Yaani siamini ujue!sio kwa matusi yale mwenzangu!looh hatimae kingkiba kawaumbua mchana kweupeeee!

Tatizo IQ hahahaaa Kiba ana IQ kubwa kuliko mashabiki wake...IQ yake inakaribiana na Dr anayetoa le tamko leoo....oyeeee
 
Haija khusu,wewe kama unampenda kama shabiki sawa na yeye ana choice wapi moyowake unapenda....
 

kipindi hiki chote sijaingia ig kwa ajili ya harakati hizi za siasa, ila kwa kuwa aliyeanzisha uzi ni mkereketwa mwenzangu basi naamini ni ukweli pasi na shaka na bila unafiki nasema taifa hili lina thamani kubwa kuliko yeyote yule, huyo ali itabidi akae tu pembeni vijana tuendeleze gurudumu hadi kufikia oct.25

PC
 
Last edited by a moderator:
Hapa nilipo mpaka natetemeka huenda kuna hacher wameiba password
 
Back
Top Bottom