Habari za wakati huu wadau, naimani mko fresh na mnaendelea vyema kukimbiza gurudumu la utafutaji.
In fact comedians wa Kenya wako vizuri sana kwenye tasnia hiyo, yaani si watu ambao wanaforce...
https://www.reverbnation.com/ngomanagwa/song/14421014-mapacha-5050
Hii ngoma ya mapacha - 50 50 ni kati ya ngoma nilizokuwa napenda wayback hiyo miakaya 2006 hivi. Kilichokuwa kinamivutia hasa ni...
Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi...
Baada ya chuki kubwa inayoenezwa na wasanii wa Kenya kwa wasanii kutoka Tanzania. Diamond ametia neno lake.
Kikubwa cha kuchukua hapa mtu akikuzidi, solution sio kumchukia ni kufata njia za...
kwa hiyo kukulia hapo kwenu Mburahati basi ndio unajiona wewe mjanja
Duh, umejuaje nakaa Mburahati?? Nilijua huna code coz wewe ni wakuja a.k.a mrugamruga,mshamba na limbukeni!
Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City
Inaelezwa pia Diamond Platnumz...
Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha...
Katika mmoja ya wasanii ambao Tanzania imebarikiwa kuwa nao na wana vipaji vya ajabu ni Rose Muhando hakika hakuna atakaepinga hilo na nyimbo zake kwa miaka mingi zimetubariki na kutusogeza karibu...
Mwijaku amewajia juu baadhi ya Wakenya wanaoonyesha chuki na dharau kwa Diamond Platnumz na wasanii wengine wa Tanzania.
Kauli yake imefuatia taarifa za kuvunjika kwa show ya Diamond usiku wa...
Drake anakila kitu ambacho mtu mweusi yoyote anakuonea hila ukiwa nacho.
Drake sio Mmarekani, mama yake ni mzungu, hajakulia katika maisha magumu, mademu wanampenda, muziki wake upo global, ana...
Wakuu,
Kama mnavyojua kuwa tuko mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 na hivi karibuni mtandao wa kusikilizia muziki ambao una makao makuu yake huko USA, umetoa orodha ya wasanii kutoka Tanzania...
Whatsup!
Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua.
Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea...
Baada ya Rapa na mfanyabiashara, Billnass kumzawadia mke wake, Nandy, gari la kifahari siku ya kuzaliwa kwake, sasa ni zamu ya mtoto wao kupata zawadi ya gari. Kupitia mtandao wa Snapchat...
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni...
Msanii Baghdad aliwahi kusema kuwa wazo la kipindi cha The Bartender lilikuwa ni lake na mwanzo wazo lilikuwa TheCounter au The Bartender na alilisajili COSOTA na kubaki na hatimiliki yake...
Watu hao ambao ni marehemu ndio watu ambao mimi nawahusudu mno na nikiwaona nikipokuwa mtoto ,kijana na niliwaona japo kidogo nilipokuwa.
Mungu azidi kuwarehemu na kuwaweka mahali pema peponi.
Amina
Bill Gates alisema hawezi kuruhusu binti yake aolewe na maskini, miaka ya nyuma iliyopita Bill Gates akiwa tajiri namba moja duniani alihudhuria kwenye Investment and Finance Conference akaulizwa...
Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri...