Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

wewe dada vitu vyako unauza ghali kuliko kawaida kwa kigezo unalipa kodi? kodi ipi lakini pia juzi ulipost kwamba watu wajiandae kwa upotevu wa makontena kama walipitisha bila kulipia...
0 Reactions
66 Replies
14K Views
Bruce Lee ni mwigizaji mahiri na mstadi wa Kungfu, ambaye alizindua mtindo wa filamu za Kungfu na kuhimiza mageuzi katika Kungfu duniani . Yeye ni mtu wa kwanza aliyelifanya neno la Kungfu kwenye...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Kampuni ya ndege ya Precision Air kuongeza safari za ndege zake 19 May 2008 By ITV Habari Kampuni ya ndege ya Precision Air imesema itaongeza safari za ndege zake kutokana kuwepo kwa ndege...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Gwiji la mziki Tanzania na Afrika kwa ujumla amedevelop tabia ambayo sio nzuri kwa mstakabali wa nchi yetu na hasa kwa wasanii wanaochipukia. Katika kipindi cha mwezi mmoja na kitu msanii huyu...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Hatimaye kiswahili chaitikisa Nigeria tena,sasa mwanadada mrembo Yem Alade kuachia ngoma mpya aliyoimba kwa lugha ambayo hatupendi kuitumia tukitana na binadam mwenye ngozi nyeupi a.k.a...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Leo usiku wangu umekuwa murua nimepata show ya live bila chenga hakika hawa jamaa wanajua balaaa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi maudhui ya kipindi hiki ni ipi? Maana ni matangazo mwanzo mwisho mpaka najiuliza kulikua na haja gani ya kuwa na watangazaji watatu, nawapa ushauri wa re brand kipindi chao maaa kina...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Siku moja baada ya AFRIMMA kutoa list ya wasanii 15 bora wa Africa, huku Diamond platnumz aking'aa kwa kushika namba 1, akifuatiwa na Wizkid, 3. Olamide na 4. Davido. Magazine nyingine kubwa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Wasalaam wana jamvi! Wengi walikuwa wakijiuliza kwanini King Kiba hakwenda kwenye utoaji wa tunzo huko Nigeria na wengine wakidhani amedharau tunzo hizo! King kiba kupitia mtandao wa picha...
3 Reactions
162 Replies
27K Views
Source:https://www.youtube.com/watch?v=W27PnUuXR_A Published on Nov 16, 2015 "La Sape" is a unique movement based in Congo that unites fashion-conscious men who are ready to splurge money they...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
AFRIMA wametoa list ya wasanii bora Africa,mtoto wa Mbagala anaetafutwa kama alimasi ameongoza list ya wasanii 15 bora kuwahi kutokea barani Africa. Bravo mond!!
3 Reactions
25 Replies
5K Views
1. Diamond Platnums ~ 1.2 million 2. Wema Sepetu ~ 1 million 3. Millard Ayo ~ 994k 4. Jokate Mwongelo ~ 936k 5. Jackline Wolper ~ 915k 6. Vannesa Mdee ~ 905k 7. Shilole ~ 839k 8. Aunty ezekiel ~...
2 Reactions
87 Replies
17K Views
Mkali wa masauti, Christian Bella amekiri wimbo wake mpya aliomshirikisha Alikiba ''Nagharamia'' haupo kwenye mzunguko mzuri kwenye redio kama ilivyotarajiwa na kwamba ukipewa airtime utakuwa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Diamond platnum label, wasafi classic imemtoa dogo harmonize na aiyola yake. Mtu mzima diamond anazidi barikiwa tu kwa kunyanyua madogo kama hawa.. Mtaa wa pili upo kwenye game miaka kibao sijui...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Huyu binti ana lafudhi na hakika asili ya Kenya lakini ameweza kuwa mtangazaji mzuri wa mambo ya Tanzania. Kwa wanaomjua alianzia wapi na alifikajefikaje hapa bongo na asili yake. Je ana work...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Hivi huyu jamaaa alienda wapii maana alikua anaweza sana hasa kipindi cha bunge la wasikilizaji na weekend fever kama kid hayupo alikua anaweza sana huyuu mtuu ni level nyingine na SAUTI yake ya...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Akiandika kwenye blogu take ya U turn Mange amedai amefutiwa udhamini uliodumu miaka mitano na kampuni ya simu ya Vodacom. Anadai Ni kutokana na kumshambulia Lowassa kwenye blogu na instagram
2 Reactions
64 Replies
14K Views
Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!! Alifanikiwa...
4 Reactions
80 Replies
19K Views
Joseph Haule a.k.a Professor Jay (amezaliwa tar. 29 Desemba 1975) ni msanii wa muziki wa hip hop laini kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Professor Jay. Katika...
5 Reactions
177 Replies
85K Views
Mida fulani ya alasiri nilikuwa nikisikiliza wimbo wa huyu muimbaji ambaye kwa sasa yuko kifunguni,nilimuwaza sana na nikahisi angekuwepo muda huu huku urain basi angekuwa akitoa upinzan wa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…