Mange atoswa na Vodacom

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,772
4,922
Akiandika kwenye blogu take ya U turn Mange amedai amefutiwa udhamini uliodumu miaka mitano na kampuni ya simu ya Vodacom.
Anadai Ni kutokana na kumshambulia Lowassa kwenye blogu na instagram
 
Oooh kumbe
 
Attachments

  • 1447320061161.jpg
    1447320061161.jpg
    49.8 KB · Views: 7,275
Hyo ccm imemsaidia nn sasa? Mwenzie wema kaambulia range,huyu malaya wa Usa kaishia kumaliza bundle zake tu za bure mxoeee
 
Tatito huyo hoe ni njaa na kutafuta kick ajikombe kwa yule wa mamtoni na sasa hiv safar za nje mpk uage kwa wazir wa miundo mbinu
 
Ningewashangaa kama wangeendelea dhamin matusi hivi mange anadhani udhamini ni sawa na kuuza mwili wake sio hajui kama pia company inaweza chafua taswira yake kama ikidhamini upuuzi kama anaoandika yeye

Alaf cha kushangaza anasema alijua na aregret kwa vodacom kuacha mdhamini ni mpumbavu tu anaweza kubaliana na haya maelezo maumivu aliyonayo ni makali haswaa aseme ukwel tu
 
Akiandika kwenye blogu take ya U turn Mange amedai amefutiwa udhamini uliodumu miaka mitano na kampuni ya simu ya Vodacom.
Anadai Ni kutokana na kumshambulia mh Lowassa kwenye blogu na instagram
Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!

Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!

Hivi ni visingizio tuu...
 
I second you

Kwa mara ya kwanza mkuu nimekuelewa kula likes za kutosha
 
Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!

Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!

Hivi ni visingizio tuu...

Umesema kweli , vodacom walishamtosa zamani kabla hata ya mchakato wa uchaguzi mkuu kuanza..
 
Mange anasema uongo tuu kama ni hivyo hata Jf wasingepata matangazo maana hata huku Lowasa anapondwa tuu..Tatizo la Mange ni matusi tuu na pengine ni kutokana na dish lake kuyumba! Kampuni yeyote kuendelea kumdhamini Mange ni sawa na kudhamini porn movies....!

Mange badala ya kuongea iliyo kweli yeye anatukana watu na sio Lowasa tuu yeye ametukana watu wengi sana!

Hivi ni visingizio tuu...

Na shoga ake aliompa hilo deal walishakosana........

ingewezekana hata this time angemkingia kifua lakini alikua na ugomvi nae

na too bad kaka ake na shoga ake alikua anamwandika vibaya katika blog yake pia
 
Tatizo la huyu mwanamke ni kutukana kila mtu bila sababu....!
 
Back
Top Bottom