Msanii Diamond Platnums usiku wa jana alifanikiwa kumbwaga chori chupke wa India bibie Priyanka Chopra na kuibuka na tuzo ya heshima kabisa matata kabisa ya Best world wide act. Jamanii huyu jamaa...
Diamond Rais wa watu Smart ataibuka na mdede wa tuzo za MTVEMA-2015 katika category ya The Best WorldWide Live Act matokeo yanayotangazwa Leo?
#MTVEMA-2015
Huyu jamaa ni mcheza kikapu Marekani alishachezeaga Lakers na pia alikuwa ni bwana ake na Khole Kadarshian.
Wiki hii habari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love...
Sijawahi kujua ni utaratibu upi unatumika kukagua kipindi kabla hakijaenda hewani.
Nimekaa hapa na Bi Mkubwa na mwanangu wakati na switch Chanel kutoka TBC kwenda EATV baada ya kusikiliza...
Tangu kujiingiza kwenye kampeni msanii ali kiba kwenye chama fulani nyota yake imefifia ghafla yaani hata wale watu waliokuwa wanamsapoti humu jukwaani wengi sasa hawapo nae mfano mzuri hata ile...
KWELI penzi ni kikohozi ! Mwigizaji wa sinema za Kibongo , Kajala Masanja na staa wa Bongo Fleva, Abbott Charles Quick Rocka wamedaiwa kuzama kwenye penzi zito licha ya wenyewe kutotaka watu...
Wakuu mimi nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka sasa hivi including local and international awards.
Anayejua tafadhali anisaidie lakini kwa...
Habari wazalendo.
Kumbe wale wasanii wawili wa bongo movie Aunt na Ray , ambao walijiondoa UKAWA hawakuwahi kujiandikisha kupiga kura na hawana kadi ya kupiga kura na hawapo katika daftari lolote...
Lile tamasha kubwa la BET Experience ambalo hufanyika L.A, Marekani wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za BET, linatarajiwa kufanyika Afrika kwa mara ya kwanza mwaka huu na kuitwa BET Experience...
Yaani huwezi kumfananisha na activist yeyote. Yaani ukichunguza post zote za siasa alizopost Insta utakubaliana na mimi kwamba ameonesha ubunifu wa hali ya juu na weledi wa kumnadi Lowasa na...
Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea , mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo , Elizabeth Michael ‘Lulu ' na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya...
wakuu ikitokea tingatinga kashinda uchaguzi mkuu je atakubali zile ziara zisizo na tija yoyote pale magogoni ambazo ufanywa na huyu msanii best kwa wakuu wa kaya, kama afanyavyo sasa kwa mkuu wetu...
Nilikua mfuatiliaji wa mwanamuziki Lady Jay dee but yuko kimya sana hadi watoto wa juzi wanataka kumpita hasa huyu Vanessa Mdee anavyokuja kwa kasi ya ajabu hadi kufikia kuchukua tuzo ya...
Hongera mjomba,kama kweli hukuonekana kutumika kama daraja!
Heshima yako itabakia kuwa juu daima,maana umekwepa meno ya wanasiasa kukutafuna kama muwa na mwisho kukutema ptuuuu!
Njaa...
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa...
MBUNGE MTARAJIWA wa Kisarawe kwa tiketi ya CUF, Rashidi Mwinyishehe Mzange atakuwa kwenye Ukumbi wa Günes Theater, Rebstöcker Str. 49d, Jijini Frankfurt kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.