Kupitia Account yake ya Instagram Belle 9 Amepost Picha ya DiamondPlatnumz na Kuporomosha Matusi ya Nguoni
================
================
Belle 9: Mimi sina tatizo na Diamond, ni baada ya watu...
(SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance%
Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram...
Suge Knight is making accusations fueling rumours about the controversial death of Tupac Shakur. In an interview on TMZ, the former Death Row Records CEO not only claims Sean 'P.Diddy' Combs is...
Hivi karibuni kiungo wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Southampton Victor Wanyama alimtaja mwanamuziki wa kizazi Alikiba kwamba ndio muimbaji anyemkubali zaidi kutoka nchini...
Wiki iliyopita kupitia mtandao wa Instagram,Blogger Mange Kimambi alimshambulia kwa matusi Aliyekuwa Miss Tanzania Hoyce Temu kwa kisa ambacho hata hakihusiani nae.Vilevile katika kashfa na tuhuma...
Kwenye ligi ya Serie A ambayo inaonekana Live kupitia king’amuzi cha Startimes imeshudia mchezaji Lorenzo Insigne akifunga mara 11 kwenye mechi za msimu huu.
Mchezaji huyu wa Napoli amekutana na...
Aliyekuwa mume wa super star aunty ezekiel, aitwaye Jack Pemba pesa imeonekana ikizidi kumtembelea baada ya hivi karibuni kuonekana nchini Uganda akifanya kufuru ya aina yake , ambapo alikuwa...
Kwanza kabisa natoa pole kwa wafiwa wote kwa msiba wa msanii John Walker.
Pili nasikitika kusema nasikitishwa sana na ambavyo mbunge wa Mbeya mjini Mr Sugu alivyomtelekeza John Walker kiasi...
kufuatia wema sepetu kutoka na mkongo na picha zake kuzagaa mtandaoni siku chache baada ya kupoteza ujauzito wake kitendo kilichopelekea mpenzi wake idriss sultan kuanza kurusha vijembe snapchat...
Aliyekuwa shabiki namba moja wa muigizaji wema sepetu(Team wema) , matilda au maarufu kama matikibokoyao ametoboa moja ya siri ya aliyekua boss wake kuwa huwa anakopa nguo kwa mfanyabiashara...
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba mwanadada Wema Sepetu amemwaga prince charming wake Idris.
Habari kutoka ghorofa ya pili nyumbani kwa Idris zinasema Wema hapokei simu za jamaa huku mnyange...
Baada ya kunasa ujauzito ambao ulisemekana ni wa kigogo mmoja serikalini, bahati haikuwa yake mwigizaji Kajala Masanja kwani mimba hiyo imechoropoka. Rafiki wa karibu na mwigizaji huyo ameliambia...
Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael...
Ally Kiba na Diamond wakiwa kwenye'Buffet'
wakichukua msosi pamoja..
Leo kutoka ukumbi Mlimani City, Dar es Salaam kuna hafla ya kumpongeza Rais Kikwete kwa utawala wake wa miaka kumi, pongezi...
Kwenye maongezi hayo Dogo janja amesikika akimponda Madee na Team nzima ya Tip top..
##Tuwe makini sana kwenye hii dunia ya kidijitali...Siri si siri tena##
Dar es Salaam: MKALI wa Mipasho Bongo, Isha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ hivi karibuni alipata msiba wa baba yake Mzee Ramadhani Ally Makonga lakini baada ya mazishi ikadaiwa msanii huyo aliwafanyia...