Frankestain
Member
- Feb 21, 2016
- 34
- 37
yuko sahihi kabsa diamond c msanii wa kumlinganisha na yeyote Yule kwa hapa nyumbani
Kuna watu wananiudhi kumlinganisha diamond na ally kiba, wanakosea sanayuko sahihi kabsa diamond c msanii wa kumlinganisha na yeyote Yule kwa hapa nyumbani
Kwahiyo mkuu hapo bado nini katika hivyo ulivyo vieleza ili nae Diamond tumuone sawa tu kama na akina Cris brown au Beyonce?Katika kipindi cha Terminal @cloudsfmtz @harriskapiga mada(Wafalme hutoka ktk familia maskini) jina lilotajwa sana na wasikilizaji ni @diamondplatnumz kama mfalme ktk sanaa ya muziki.Nikajiulza aya diamond ni msanii anayejituma sana na yupo hatua nyingi mbele kuliko msanii yeyote tz ktk mwitikio wa kazi zake, focus yake ktk music industry ni kubwa sana, ndo mana mafanikio/mrejesho wa nguvu anazowekeza ktk muziki wake ni mkubwa sana. Msanii anapaswa kujua thaman yake, na thamani inapimwa kwa nguvu za mashabiki, mauzo ya tiketi, uwezo wa kufanya show na kuvuta mashabiki wengi ktk viwanja vya mpira, mapokezi, mwitikio wa kazi ktk Social media, Radio, TV & shows. Ukiwa ivo vyote msanii hajaweza kuvimaster 100% then unachofananisha ni utumbo. Msanii asiyeweza kufanya show peke yake ya kingilio 50k /= na kujaza watu, huitaji akili kubwa kujua hana nguvu iyo unayotaka kuiweka, nguvu ya msanii inaenda sambamba na mwitikio wa mashabiki na bila hivyo, tutatumia nguvu nyingi sana kulielewesha kundi la wajinga...maswali nayotaka yajibiwe kwa wale wabishi, ukimshindanisha diamond na msanii yeyote chukua karatasi, andika checklist hii. Kisha andika diamond vs huyo unayemshindanisha, uwalinganishe kwa kuvitazama hivi vitu, kisha jibu utalopata waelimishe wenzio. 1;Muda ambao msanii ameanza muziki rasmi 2;Idadi ya tuzo za kitaifa na kimataifa (toka anaanza muziki) 3;Idadi ya mashabiki YouTube (sio viewers ni subscribers) 4;Idadi ya viewers YouTube (official release only) 5;Idadi ya mashabiki Facebook & Twitter 6;Idadi ya mashabiki Instagram 7;Idadi ya show ktk viwanja vya mpira(kama main artist) 8;Mapokezi ya msanii nchi husika(yanaoonekana sio hadithi) 9;Show binafsi zenye vingilio vikubwa(Idadi na lini zimefanyika) 10;Mikataba ya ubalozi(itaje yote unayojua kwa kila msanii ktk hao unaowalinganisha 11;Idadi ya nchi alizofanya show(main artist- lengo ni kujua nchi ngapi ana uwezo nazo) 12;Idadi ya matamasha makubwa(kama mwalikwa). NB;Wapo wanaoishi 1990's ile miaka ambayo mtu anakwambia ninakubalika kote, zama za uongo mwingi wanazileta mpaka 2016. S/0 to ma main man @Sir_changawa.
Hiyo ndiyo njia ya kuongeza uzalendo na kuukuza utaifa " tujipe moyo,tujipe sifa..mcheza kwao hutunzwa ""DP namkubali Sana.
"Na vile nilivyo mpole.. Tabia ya kuwajibu sinaaagaaa"
Kweli hakuna wote kukupenda na hakuna wote kukuchukia..ila utabaki na wapenzi wengi !! ndo walimwengu hao !!Ni msanii mwenye mashabiki wengi na maadui wengi pia msisahau hilo.
I am a loyal fan. Najipongeza kwa hili.Kweli hakuna wote kukupenda na hakuna wote kukuchukia..ila utabaki na wapenzi wengi !! ndo walimwengu hao !!