Siasa na dunia lukumba lukumba

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,991
Bulaya & Mdee.jpg

Ester Bulaya akimpa busu Halima Mdee

Picha kutoka Gazeti la Mwananchi
=============================
Ooh mwanangu dunia ina mambo,
sikia maneno,
nakwambiaka,
mupe roho yako Mola wako,
heshima kwa wazazi eee mwanangu.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Chunga mwenjiyo atakudanganya,
kwa yote ile atapenda yeye,
kipenda roho kila mutu na yake,
yake ni yake na yako ni yako.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Mwendo wa kobe maele maele,
mwendo wa chui kuwinda winda,
mwendo wa nyoka lukumba lukumba,
mwendo wa ngarama ah njia ya faradhi.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Tabu na raha inakungojea,
inategemea akili yako,
tafutaaaa eh utapata eh,
kumbuka maneno nakwambiaka.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

By Lady Issa​
 
Aaah kuna kipande hujakimalizia, au umesahau kukiandika nini? Ngoja nikusaidie:
tafutaaa ooh utapata sikia maneno nakwambiaga..
Dunia hii mama lukumba lukumba dunia Ina mambo...
 
namwona dogo kinyafu diwani wa saranga , huyu kijana ni miongoni mwa wanasiasa walioshinda udiwani dar mwaka 2010, wakiwa hawana hata senti za kukodi spika ya matangazo
 
View attachment 327023
Ester Bulaya akimpa busu Halima Mdee

Picha kutoka Gazeti la Mwananchi
=============================
Ooh mwanangu dunia ina mambo,
sikia maneno,
nakwambiaka,
mupe roho yako Mola wako,
heshima kwa wazazi eee mwanangu.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Chunga mwenjiyo atakudanganya,
kwa yote ile atapenda yeye,
kipenda roho kila mutu na yake,
yake ni yake na yako ni yako.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Mwendo wa kobe maele maele,
mwendo wa chui kuwinda winda,
mwendo wa nyoka lukumba lukumba,
mwendo wa ngarama ah njia ya faradhi.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

Tabu na raha inakungojea,
inategemea akili yako,
tafutaaaa eh utapata eh,
kumbuka maneno nakwambiaka.

Dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia,
dunia hii mama lukumba lukumba,
dunia hii ina mambo mwendo wa ngamia.

By Lady Issa​

Huyo mwenye sauti ya kiume na kisela nafikiri ndio atakua ME na huyo anayetoa mabusu motomoto ndio KE...ama kweli dunia hii mwendo wa ngamia
 
Back
Top Bottom