Migomba
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 945
- 1,334
Msanii nguli wa mashairi ameeleza kwamba kuna bakteria wanakaa njia ya haja kubwa ambao mtoto huwa anazaliwa nao, na hao ndio wanafanya baadae aje kuwa shoga.
Pia ametaja tabia ya watoto kujisaidia chini kuwa ni moja ya tiba ambazo wazee wa zamani walizijua lakini siku hizi kutumia mapoti ndio kunazidi kuharibu watoto.
Ona video..
Pia ametaja tabia ya watoto kujisaidia chini kuwa ni moja ya tiba ambazo wazee wa zamani walizijua lakini siku hizi kutumia mapoti ndio kunazidi kuharibu watoto.
Ona video..