Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi...
3 Reactions
24 Replies
7K Views
Naona picha zake znyingi anapiga akiwa anakula au yupo kwenye mijumba ya kifahari Hizi nyumba ni zake au kwao kwel? Au ndio kick?! Au ndio anauza papuchi
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Japokua ki muonekano hayuko vyema sana sema ana vionjo flani ktk utangazaji wake na vicheko mororo sauti clear ila kizungu kingi..kwa wasio mjua huyu dada ni mtangazaji wa clouds tv ana host...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf. Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni...
8 Reactions
109 Replies
12K Views
Fahamu aliko na akifanyacho Rah P Did you know that she was jailed?
7 Reactions
84 Replies
21K Views
Utafiti uliofanyika siku za ivi kalibuni umeonesha kuwa mashabiki wa Ali Kiba wana jikomba nakumpenda mtu asie wapenda na anae wadharau..... Unazungumziaje utafiti huo
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi amedai wakati yuko masomoni nchini Marekani alishawahi kufanya kazi kwenye Hoteli ya mgombea Urais wa sasa wa nchi hiyo kupitia chama cha Republican, Donald...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwaka 2006 ndio ilitoka album ya tatu ya Prof Jay ambayo inafahamika kwa jina la J.O.S.E.P.H. Lakini J.O.S.E.P.H ni wimbo ambao uliweza kulichaguliwa kuwa wimbo bora wa Bongo Fleva/Hiphop BBC na...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, hatimaye Chidi benzi licha ya kuripoti hapo awali ya kuwa ameachana na madawa ya kulevya na kurudi na ngoma iitwayo chuma na kufanikiwa kupenya na hiyo...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Soudy Brown azidi kumnanga Wema Sepetu juu ya tabia yake ya kutafuta kiki ili jina lake lisikatike midomoni mwa watu kwa kusingizia ana ujauzito
0 Reactions
12 Replies
3K Views
nyimbo inahusu kulielezea jwtz na baadhi ya mission ilizoshiriki nje ya nchi ,ndani ya video utapata kumuona jay mo akiwa juu ya tank,pia wanaonekana wakiwa kwenye meli ya kijeshi na pia...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Hitmaker wa ngoma ya Jikeshupa Nuh Mziwanda amebonga na kipaza cha Perfect255 kuhusiana na mipango yake ya baadae kuja kubadilisha aina ya uimbaji na kuwa anaimba muziki wa dini. Nuh ameiambia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwana mama anayekuja juu kwa kasi ambaye pia ni mke wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi kila kukicha anazidi kuonesha vituko vyake Faiza leo kaamua kuipa promo chupi yake kwa kupita mbele za watu na...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hizi ni nyimbo 5 zilizorudia nyimbo za zamani na kuhit tena Hizi ni nyimbo 5 zilizorudia nyimbo za zamani na kuhit tena - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Angalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology. Je ni kwanini hakuhudhuria?
2 Reactions
126 Replies
30K Views
Wakuu naomba tuskilize haya mahojiano na tufanye uchambuzi wa kile tutakachokiskia kwa kutoa Constructive and comparative analysis between the two bongo flavor artists of Tanzania
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Kwaito wa nchini Afrika Kusini aitwaye Mduduzi Tshabalala au maarufu kama Mandoza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38. ========= JOHANNESBURG – News of the...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya nimegundua hawa ndio wasanii wenye followers wengi instagram 1:Davido 2:Diamond Platnumz 3:Wizkid 4:Tiwa Savage 5:Donjazzy 6:Shillole...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox?? Hili swali nimekuwa nikijiuliza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…