Ila mwisho mwampamba alikula vinono sana!! Jamaa ana nyota ya kushobokewa na mademu, lol!
na ray c inasadikika alikua wake piaNi kweli kabisa Raha P ni binti mzuri sana.
majuu ni majuu arifu inategemea inazichanga vipi karata zako.....wengi tumefanikiwa majuu miaka 30 nilioshi USA na Europe nimefanikiwa sana najivunia kwa hilo.....angekuwa bongo nafkiri angekuwa, mbali kidogo coz alikuwa na msingi mzuri wa Elimu. Huyu akomae tu huko huko akija huku maumivu Mara mbili kwanza sidhani ka familia itampokea kiviile then wale school mates zake na age mates wake washapiga hatua sana itamuuma. Hata mi siku zote nlikuwa najua Ukienda tu Europe au America ushafanikiwa!
You just write like Le Mutuz, Le Baharia, Am i correcting?majuu ni majuu arifu inategemea inazichanga vipi karata zako.....wengi tumefanikiwa majuu miaka 30 nilioshi USA na Europe nimefanikiwa sana najivunia kwa hilo.....
Ukienda majuu na kupania kuvaa milegezo na kuishi life style ya mtindo ule lazima ile kwako.....wewe ukipata nafasi ya kufunga mkanda kwea pipa arifu.......kuna raha gani bongo umeme hakuna,mbu nyingi,ujinga wa ccm na serikali yake,kipindupindu na makorokoro mengine......
rah p basi ni bahati mbaya...au alitaka mtu wa dizaini fulani ndio akaishia huko...
You just write like Le Mutuz, Le Baharia, Am i correcting?