Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Bwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Huku tukiwa kila siku tunawahimiza Vijana kuwa mnapopata bahati ya kuanzisha Mahusiano na hawa Mabinti " Mastaa " wa Kibongo basi hakikisheni " mnawabandua " ipasavyo ili kuleta Heshima huwa...
20 Reactions
182 Replies
26K Views
Wakat akiendelea kuomba msamaha akajibiwa ...."Acha mimi masikini na wanangu tutaishi vizuri katika nyumba ya kupanga, wewe tajiri ishi na wanao ktk nyumba ya kununua na mwenzio." Diamond if he...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo Mgombea urais tajiri wa Chama Cha Republican, Donald Trump akiwa nna mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Flaviana Matata (kulia) na...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
HAYA SASA TUSUBIRIE HIZO CLIPS ZA HIYO VIDEO PHONE SEX,JAMANI HIZI PERUVIAN HAIR ZITAFANYA WATU HATA WALE VINYESI#Salome
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Nasema hivyo maana vitu anavyofanya diamond mtanzania ni ngumu kufanya ni maneno kidogo vitendo vingi, mfano Kanunua nyumba S.A na Tabata ,hakutoa ahadi ila ni vitendo kafanya ila upande wa KING...
4 Reactions
21 Replies
6K Views
Hebu nielewesheni nani mwenye umri mkubwa zaidi
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Mwigizaji mwenye manjonjo ya kipekee Chinedu Akedieze au kwa jina maarufu Aki ameonesha mapenzi ya hali ya juu kwa kuusifia wimbo wa diamond platinum uitwao Salome Aki kupitia akaunti yake ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Jamani najifunza kufungua nyuzi...samahanini wadau...ila mi siyo wa darisalama.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
baada msanii kala jelemay kuachia kazi mpya nilitegemea mapokezi kutokana ujumbe mkubwa kwa jamii na kwa mashabiki lakini imekuwa kinyume chake watu wameipuuza haijafany vizur vile ambavyo...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nimeusikia kwa mara ya kwanza wimbo wa mwanadada Ruby baada ya kujitoa katika matamasha ya Fiesta. Wimbo unaitwa Wale Wale, mwadada kama kawa kaimba poa sana wimbo unamelody kali...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Huyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi...
10 Reactions
80 Replies
32K Views
Leo kazaliwa mama la mama aka bosslady ukipenda muite mama teeh!!, namtakia heri ya kuzaliwa mwanamke anayejielewa ,mwanamke mtafutaji,sema nene ujue boss wangu?? Hiyo zawadi ya nyumba umeuwaaa...
9 Reactions
89 Replies
12K Views
Rais wa jumuiya ya Watanzania wanaokaa visiwani Mauritius ndugu Jumanne Kikwete ameonesha mapenzi yake ya dhati kwa kazi nzuri inayofanywa na kijana Diamond Platnumz na kukiri hadharani kuwa yeye...
9 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Kwa wale ambao mlikuwa hamuwajui watoto wa Shilole (Shishi), basi hawa ndio watoto wake, sema chochote.
2 Reactions
17 Replies
10K Views
Awali ya yote niseme tuuu,uwepo wa WCB unanipa burudani saaaaana...kila nyimbo wanayotoa ni hit after hit...wala sitaki kuzungumzia kinachotrend kwasasa africa kuanzia maredion mpaka kwenye matv...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani tunajua Dada zetu wabongo kichwani hamna kitu, wanawaza starehe tu na hawapendi maendeleo wala kujituma kama Zari, tunajua zari yupo smart kichwani anajielewa, pengine kutokana na malezi na...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Jamani nisaidieni namtafuta 20% kwa muda sasa sijui yuko wapi. Mimi ni shabiki wa nyimbo zake sana na sidhani kama kuna mwanamuziki mwenye sauti nzuri kama huyu bwana. Naona amekaa kimya sana
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom