Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,449
9,372
Habari zenu wadau wa burudani

Jamani Leo nimemkumbuka uyu kijana wa kingoni Caz T mwana wa komba aliyesumbua miaka ya 2000 mpaka 2002 na vibao vyake kama one more chance, sister du kapika ugali mmibichi, na funga kazi wimbo nakuitaji pamoja na ablam yake iluyokuwa na nyimbi kama tuvumiliane no

Naomba kujua alipo uyu jamaa kwa sasa Mara ya mwisho niliambiwaga baada ya mauzo ya ablam ya nakuitaji alifanikiwa kujenga maeneo ya ukonga makaburini

Naulizia kwa sababu kapotea kabisa hata kwenye interview simsikii kwenye matukio mbali mbali ya burudani nk haonekani

Yupo wapi uyu jamaa

Team kiba na diamond tuachieni nafasi kidogo najua hamuwezi mjua uyu mtu
 
Yupo anapiga biashara zake za Lodge, ndo mmiliki wa ANGWISA LODGE zote.. wakazi wa Ukonga nadhani wanazifahamu
Duh, hili neno analipenda sana huyu jamaa maana hata kwenye wimbo wake alikuwa mahali anasema, ANGWISA!! bila shaka ni malafyale huyu.
 
tulipotoka ni mbaliiii,tuvumilianeeee.sahau yote yaliyopitaaaa .tuvumilianee.×2.jamaa enzi zao walipeta.na kina James mtoto wa dandu
 
tulipotoka ni mbaliiii,tuvumilianeeee.sahau yote yaliyopitaaaa .tuvumilianee.×2.jamaa enzi zao walipeta.na kina James mtoto wa dandu
Enzi hizo wcb walikuwa bado wananyonya nyimbo za kiboya zinabamba disco Toto Kuku kapanda baskeli,dandu kurekod mamtoni anaonekana matawi,enzi zimebadilika siku mtoni ni km chooni tu kutwa Mara Tatu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom