Fahamu watu wanaotumwa na Ali Kiba kumshambulia Diamond


A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,117
Likes
1,559
Points
280
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,117 1,559 280
Wakuu heshima kwenu.
Kwanza poleni na majukumu hapa kuna mashabiki die hard wa Diamond ambao nawapa credit zao na wamekua wakimtetea sana . Nitataja wachache na ni watu makini sana

Chige. Warumi. Evelyn Salt. The Bold, Ruttashobolwa. Faiza Foxy.

Hao ni kwa uchache tu, napenda kuwapa heshima yao kwanza, Iko hivi Ali Kiba amekua akiwatanguliza wenzie mbele kama tai halafu wakijibiwa wanakimbilia kwenye media na sababu kubwa ya hawa watu kwa mfano Wema tunajua ni ex girlfriend wa Diamond hivo kuungana na maadui wa Diamond anahisi anamkomesha ,

Jokate huyu pia ni ex girlfriend ambaye alifunuliwa na Diamond na anatembea na Kiba ambaye anahisi iko siku atamzidi Diamond, Ummy Dimpoz huyu nisiongee sana yeye ni chambo na ndio maana interview yake ya mwisho kaeleza vitu tofauti na vijembe alivyoelezea interview zilizopita ili aonewe huruma

kikubwa cha kukumbuka mwanaume huwezi kulazimisha kumsindikiza mwanaume mwenzio safari ya Marekani na South Africa na safari zote unalazimisha jiulizeni kwa nini ulazimishe wakati hauhusiki? Idriss Sultan huyu ni looser ambaye hua namchukulia kama aliechanganyikiwa na maisha alivamia mji kwa pupa sasa atulie tu ajipange upya au ajiandae kusota maana hana jipya,

kuna mtu alikua anajiita Shilole kiuno kwa akili ya haraka mtakumbuka hiyo account kule instagram ilivokua inamchafua Diamond , sasa ilibidi jamaa anaswe kumbuka alivyokamatwa alihojiwa sana na mengi alieleza na waliokua wanamtuma aliwataja na Ali kiba alitajwa , sasa jiulize mwanaume kujiita shilole kiuno upate pozi kidogo.

Tunakuja kwa Ali kiba mwenyewe na kundi zima la wanamuziki ukiunganisha akina Nuru Mziwanda, Baraka Da princess, Najma, na wengine hao wote wakiongozwa na kiba ni wanamuziki wasio na mafanikio kimuziki kiukweli

wengine humtukana Diamond kwa kuwa kawapita kimafanikio kuanzia namna anavyofanya kazi zake na kua current na huo wivu wao wa wazi hautowadaidia kikubwa wajifunze mbinu za kufanikiwa kwani ni aibu umeimba toka mwaka 2000 halafu Tiffa mtoto wa jana anakuzidi pesa kwenye akaunti inauma lakini wavumilie.
 
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2007
Messages
2,375
Likes
5,421
Points
280
mambo

mambo

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2007
2,375 5,421 280
Wewe una matatizo kama bosi wako mondi.Umekosa usingizi umeingia jf kupekua comment mojamoja ili utimize matakwa yako.Jifunze kuwa na kifua vinginevyo utapata hati ataki kijana;):(:mad::confused::cool:.Hapa watu wanatoa maoni yao hakuna team kiba wala mondi.Tuko busy na mambo ya kitaifa [HASHTAG]#hatutaki[/HASHTAG] ujinga sisi
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
20,170
Likes
28,304
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
20,170 28,304 280
Ommy ambaye ni baba wa kambo wa Diamond ameshamaliza kazi kwenye XXL
Eti mama mwenyewe anapenda vijana.....
Eti huyo anae sema anapumuliwa kisogoni, ndio anakutana nae asubuhi akitoka chumbani kwa mama yake huku akiwa amefunga kitaulo......
Jamaa wa shilawadu wakasema, what.....
 
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Messages
5,867
Likes
5,994
Points
280
Age
28
Planett

Planett

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2014
5,867 5,994 280
ummy nyembo anatafuta huruma tuu life limekuwa tight hatari
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
12,228
Likes
23,458
Points
280
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
12,228 23,458 280
Majungu na fitnaa hukaa masikioni kwa muda.....mziki mzuri hudumu.

Hao wote ulowataja plus simba wafanye kazi wafanye music...

Nadhani itawasaidia kuliko hizo porojo za shilawadu
 
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
8,463
Likes
6,568
Points
280
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
8,463 6,568 280
Ummy hatujui dem wke na hata marafiki hawajui shem wao,ila wanajua bwana yke aliempangia nyumba.hata ajiteteee vipi dalili zote za kupumuliwa anazo
 
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
965
Likes
586
Points
180
Age
27
Born 2 Be Wild

Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
965 586 180
Nafikiri na wewe umetumwa tu halafu wewe ni mamluki.
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,117
Likes
1,559
Points
280
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,117 1,559 280
Na wewe umetumwa na Dimondi kuwachana Team kiba? Mie kibakuli na Domo wote nawachukulia mazwazwa tu coz sina team.
Jenga hoja na fuatilia trend za hao watu
 
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
2,117
Likes
1,559
Points
280
A

Arovera

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
2,117 1,559 280
Wewe una matatizo kama bosi wako mondi.Umekosa usingizi umeingia jf kupekua comment mojamoja ili utimize matakwa yako.Jifunze kuwa na kifua vinginevyo utapata hati ataki kijana;):(:mad::confused::cool:.Hapa watu wanatoa maoni yao hakuna team kiba wala mondi.Tuko busy na mambo ya kitaifa [HASHTAG]#hatutaki[/HASHTAG] ujinga sisi
Boss ni mimi mwenyewe.
 

Forum statistics

Threads 1,275,223
Members 490,932
Posts 30,536,086